Hivi bado mnaamini kuwa kuna msanii atamtoa alikiba kwenye game,hilo sahau.mwendo wa alikiba ndio huohuo anakaa kimya akiludi anasepa na kijiji hicho ndio kimemfanya kubaki kwenye game mpaka leo...ndugu yenu anakufa kifo cha mende teeh😃.
hatari sana, JICHO PEVUWEWE NDIO UMEONA KAMA MIMI...
LENGO NI KUMTOA ALIKIBA KWENYE MIDOMO YA WATU KUPITIA DIAMOND...
DIAMOND AMEMTOA HARMONIZE MBAKI MNO... NA KATIKA WASANII WAKE WOTE.. HUYO NDIO ALIKUWA AKIMPENDA SANAAA....
KAMCHEZO TU WAMECHEZESHWA MEDIA ZA BONGO...
KWA SABABU WALIKUWA WANAMTAFUTA MTU WA KUMSHINDANISHA NA DIAMOND... KIBA WALIKUWA WANAFORCE TU... WALIJARIBU HATA KWA ASLAY WAMEFELI...
ILA KWA HARMONIZE WAMEJIKOROGA MASKINI
Sent using Jamii Forums mobile app
Arudi kwenye Ibada sioNdio maana walijaribu kumweka karibu hamo na kiba... Lkn imeshindikana... Kiba ni mtu mzima anaelewa ila ndio ivo akili za michezo hana...
Astaafu tu mziki atulizane kwenye ibada...
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahha hapo ndio unajua hujuiNinacho jiuliza mimi ivi harmonize collabo na Morgan haritage ameipataje na ikumbukwe morgan kuna kipindi walikuj bongo na walionekan na harmonize studio kipind harmonize yuk WCB na ata collabo yake na yemi alade ameifanya akiwa WCB lakin imekuja achiwa baada ya kutok wcb kiukwel kuna kitu hapa kina jificha maan WCB ni wazee wa fitna
Sent using Jamii Forums mobile app
anasepa na kijiji, kwanini asisepe na wilaya au mkoa..?Hivi bado mnaamini kuwa kuna msanii atamtoa alikiba kwenye game,hilo sahau.mwendo wa alikiba ndio huohuo anakaa kimya akiludi anasepa na kijiji hicho ndio kimemfanya kubaki kwenye game mpaka leo...
hafanyi mziki kwa sababu fulani eti afanye vile nimshushe yule hapo ndio wengi walipo mshindwa.akitoa kitu utawasahau hao jirani zako kwanza ni mtunzi mzuri yaani kuandika ni kipaji ndio maana hajawahi kutoa ngoma mbovu.analijua game la bongo liko na linatakiwa liendaje.ndio maana alikiba anajulikana kwa mziki.atembelei nyoya ya mtu,eti nikiwa na demu yule nitaongeza umaalufu.
Huyo mzee wa maboko mnasema hajawahi toa ngoma mbovu?🤣🤣Hivi bado mnaamini kuwa kuna msanii atamtoa alikiba kwenye game,hilo sahau.mwendo wa alikiba ndio huohuo anakaa kimya akiludi anasepa na kijiji hicho ndio kimemfanya kubaki kwenye game mpaka leo...
hafanyi mziki kwa sababu fulani eti afanye vile nimshushe yule hapo ndio wengi walipo mshindwa.akitoa kitu utawasahau hao jirani zako kwanza ni mtunzi mzuri yaani kuandika ni kipaji ndio maana hajawahi kutoa ngoma mbovu.analijua game la bongo liko na linatakiwa liendaje.ndio maana alikiba anajulikana kwa mziki.atembelei nyoya ya mtu,eti nikiwa na demu yule nitaongeza umaalufu.
Hajawai toa ngoma mbovu na haito tokea..Huyo mzee wa maboko mnasema hajawahi toa ngoma mbovu?🤣🤣
Ni mbinu tu hizo..Hisia zangu zinaniambia Harmonize bado yuko mikononi mwa Diamond ila Umma tunaaminishwa katoka ni game well played ila kuwin kibiashara.
Hebu tuone hili, hapo awali Harmonize alipokuwa anatoka Wasafi maneno mengi yalizungumzwa na mameneja wa Diamond, Babu Tale na Sallam SK, Ila Diamond hakuwa mzungumzaji sana, tunajua Wasafu ni watu wa mikakati na hilo wanaliweza sana tu
Kwa nini Harmonize aondoke, Kakua..?, anaweza kujitegemea..?, Ila ni kwamba Harmonize ni Akaunti iliyokuwa inajitosheleza ili iingize kipato sasa kivipi akae na Diamond hapo hapo, Mikakati inaanza ili atoke akajitegemee faida irudi na Media zingine zianze kumsapoti pesa iingie Wasafi huku asilimia kubwa akichukua yeye
Diamond majuzi kasapoti kwa kuposti kava ya Album ya Harmonize kuaminisha mtoto hata akijisaidia huwezi kata mkono, ila kibiashara streaming na dowloads zitaongezeka pesa itakuja nyumbani why nisiposti wakati nina wafuasi wengi,
Media zingine hazichezi nyimbo zangu Diamond ila Dogo atachezwa atapata coverage na Endorsement zinajileta pesa itaingia na Air Wave majina yatakuwa ni Diamond and Harmonize na Hakuna mwingine wakuturinganisha na sisi
Tuone hili,
Diamond- A boy from tandale imetoka tarehe 14/03/2018
Harmonize- Afro East imetoka tarehe 14/03/2020
Diamond A boy from Tandale ina nyimbo 18
Harmonize- Afro East ina nyimbo 18 .
Bado hamuamini Harmonize yupo chini ya Diamond?
Mapovu ruksa, Huu ni mtazamo tu masela msijenge chuki
ndugu yenu anakufa kifo cha mende teeh😃.
Mimi binafsi naamini hawa watu bifu lao siyo kubwa kama sisi washabiki tunavyotaka liwe, Diamond na kambi yake mpaka sasa sijaona kama wana figisu zozote wanazofanya kwa Harmonize, kitu ambacho siyo cha kawaida.
Inawezekana figisu zipo, na Harmonize kambi yake ikawa strong kiasi cha kupambana nazo, all in all Harmonize kama akiamua kufanya vizuri na kambi yake, ana hiyo potential.
Ila unahisia nzuri"sisi watu wa nangwanda tunasema unajipa moyo". basi wcb ilishikwa pabaya mpaka kuamua kutumia mbinu hizo, inamaana ilielekea kufa,sidhani kama ni kwer.Hisia zangu zinaniambia Harmonize bado yuko mikononi mwa Diamond ila Umma tunaaminishwa katoka ni game well played ila kuwin kibiashara.
Hebu tuone hili, hapo awali Harmonize alipokuwa anatoka Wasafi maneno mengi yalizungumzwa na mameneja wa Diamond, Babu Tale na Sallam SK, Ila Diamond hakuwa mzungumzaji sana, tunajua Wasafu ni watu wa mikakati na hilo wanaliweza sana tu
Kwa nini Harmonize aondoke, Kakua..?, anaweza kujitegemea..?, Ila ni kwamba Harmonize ni Akaunti iliyokuwa inajitosheleza ili iingize kipato sasa kivipi akae na Diamond hapo hapo, Mikakati inaanza ili atoke akajitegemee faida irudi na Media zingine zianze kumsapoti pesa iingie Wasafi huku asilimia kubwa akichukua yeye
Diamond majuzi kasapoti kwa kuposti kava ya Album ya Harmonize kuaminisha mtoto hata akijisaidia huwezi kata mkono, ila kibiashara streaming na dowloads zitaongezeka pesa itakuja nyumbani why nisiposti wakati nina wafuasi wengi,
Media zingine hazichezi nyimbo zangu Diamond ila Dogo atachezwa atapata coverage na Endorsement zinajileta pesa itaingia na Air Wave majina yatakuwa ni Diamond and Harmonize na Hakuna mwingine wakuturinganisha na sisi
Tuone hili,
Diamond- A boy from tandale imetoka tarehe 14/03/2018
Harmonize- Afro East imetoka tarehe 14/03/2020
Diamond A boy from Tandale ina nyimbo 18
Harmonize- Afro East ina nyimbo 18 .
Bado hamuamini Harmonize yupo chini ya Diamond?
Mapovu ruksa, Huu ni mtazamo tu masela msijenge chuki
Harmo alijipanga,halafu ana mzungu anayempa jeuri. Wale walimshindwa.
😃😃😃😃😃😃😃😃😃 Nyie mna matani mabaya.yule bwana kwani bado ni msanii..au veterani..?
Kama hivyo safi sana, wapambane kwa kazi tuone burudani.
Ushindani kwenye industry ni muhimu.
Walipomuua mavoko kisanii walifurahi na hizi nyuzi za kujipa matumaini hazikuwepo,alipotoka harmo walimkumbusha kilichompata mavoko na kejeli kibao. Hawa ndo wcb rangi mbili
Ninacho jiuliza mimi ivi harmonize collabo na Morgan haritage ameipataje na ikumbukwe morgan kuna kipindi walikuj bongo na walionekan na harmonize studio kipind harmonize yuk WCB na ata collabo yake na yemi alade ameifanya akiwa WCB lakin imekuja achiwa baada ya kutok wcb kiukwel kuna kitu hapa kina jificha maan WCB ni wazee wa fitna
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, Mavoko kapotea kabisa.
Kwahio Morgan heritage sababu waliimba na Diamond hawawezi kuimba na msanii mwingine hapa Tz? kuna kitu WCB wanafanya nyie watu sio bure maana hizi sio akili za mtu timamu