Harmonize ameuliza, tumjibu!

Kesha unafanya kazi,
siyo ukeshe unaomba Mungu, ambaye kiuhalisia hayupo.
Mara mia ukeshe usiku kucha unamuomba mwanadamu mwenzako, atakupa msaada.
Aseeh!!
Wewe Muha umekutana na kitu gani hadi kuwa atheist?
Ila Usifike Mbali Mkuu..
Umetumia Kejeli Kubwa Sana kwa sisi tunaoamini katika Mungu.
 
MOD JF katika jambo jema na lenye Thawabu mbele za Allah ni KUMTOA huyu mtu humu. Kama anatolewa mtu kwa kumtukana Mwanadamu je kwa Mungu wako inakuaje. USIKUBALI HUMU JF MWANADAMU AMTUKANE MUNGU
 
Ulaya wamefunga makanisa huyohuyo Homo anaendakupiga shoo huko kwa pesa ndefu!??
 
Muda utaongea
Time will tell.

Ni bora uamini kua Mungu yupo ili hata ukifa ukimkuta au usipomkuta unakua huna hasara yeyote kuliko kutokuamini uwepo wa Mungu halafu siku ya hukumu umkute,

Dini ni imani na matendo,anayeamini aendelee kuamini na asiye amini pamoja na kuelekezwa basi aendelee na msimamo wake kwani watu wa aina hiyo ya ubishi na uasi walikuwepo pia toka zama za kale.
 
Kesha unafanya kazi,
siyo ukeshe unaomba Mungu, ambaye kiuhalisia hayupo.
Mara mia ukeshe usiku kucha unamuomba mwanadamu mwenzako, atakupa msaada.
Kiburi cha pumzi hiki,yakikufika shingoni utaanza kuomba msaada wake.
Si wewe wa kwanza kufuru,walipita majemedari na waliofikia hatua ya kujiita wao ndo mungu lakini mwisho wake wakahitaji msaada wa huyo ambaye hawaamini kama yupo
 
Maandiko yote ni michongo ya wazungu hakuna cha ziada. Swali wali waliokufa kabla ujio wa ukristo kupitia wamisionari na uislam kupitia waarabu na biashara ya utumwa. WATAHUKUMIWAJE
Biblia ipo wazi.
watahukumiwa kwa dhamili zao.
 
Ni muda sahihi sasa dini nazo zithibitishe uwepo wa Mungu ili kuondoa sinto fahamu kwa baadhi ya wanadamu.

unapo sema pumzi anayo vuta mjumbe hii tangu utotoni nimakalilishwa ni Oxygen vivyo hivyo Oxygen inakuwa na source yake wala siyo Mungu nazani kwa hili wakemia wanaweza kutusaidia.
 
Huenda wamechagua utajiri wa kiroho badala ya vitu. Kupanga ni kuchagua
 
Sasa hapo hatuwezi kuilaumu dini badala yake alaumiwe huyo mja.kwasababu dini zote zimehimiza kutafuta maarifa na riziki kusoma ni miongoni mwa hizo Njia.
 
Kesha unafanya kazi,
siyo ukeshe unaomba Mungu, ambaye kiuhalisia hayupo.
Mara mia ukeshe usiku kucha unamuomba mwanadamu mwenzako, atakupa msaada.
Nimeogopa sana kwa hii statement yako.
 
Injili ya Mathayo Sura ya 7

13 Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.

14 Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
 
Majibu anayo nay wa mitego
 
Biblia ipo wazi.
watahukumiwa kwa dhamili zao.

Dhamila zao zilikua zinasema kuvamia tawala nyingine kuua watu ni swala la kawaida. Kuolewa na mtemi au kiongozi ata wake 10 ni swala la kawaida. Dhamili ipi unasema.
 
Kesha unafanya kazi,
siyo ukeshe unaomba Mungu, ambaye kiuhalisia hayupo.
Mara mia ukeshe usiku kucha unamuomba mwanadamu mwenzako, atakupa msaada.
Nimekuelewa
 
Kesha unafanya kazi,
siyo ukeshe unaomba Mungu, ambaye kiuhalisia hayupo.
Mara mia ukeshe usiku kucha unamuomba mwanadamu mwenzako, atakupa msaada.
Naunga mkono comment yako.Hizi dini zimekuja kuchota ubongo wetu hapa Africa
 
Mungu Kama yupo au kama hayupo, mimi hainihusu!

Huyu Mungu hanisaidii kwa chochote, wala hanisaidii kwa lolote!
Maisha yangu hayahitaji wala hayategemei Mungu.
You are totally wrong, unajua pumzi kakupa nani? Unajua kuna magonjwa mazito ya ajabu yasiyo na tiba duniani, ambayo ukiumwa utatumia hela mpaka senti tano yako ya mwisho na kubaki masikini? Nani anakuepusha nayo? Hivi unajua ndani ya mwili wako unaishi with lots of bacteria? Unafikiri anashindwa kuwaamuru wakuminye kidogo ujiharishie? Usicheze kabisa na Mungu kaka, hachezewagi huyu. Jitathmini!
 

The robots rebellion!.
 

we umemjuaje huyo mtoa pumzi!?. anaenipushana hayo magonjwa deadly, mbona wengine anawapa!?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…