Harmonize ajitwalia mrembo wa Kenya Hudda bosschick

gwa myetu

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
4,473
4,665
Kuna tetesi za mahusiano ya mapenzi kati ya Harmonize wa Diamond na tajiri mwanadada Hudda Bosschick wa Kenya , na hata ukipitia akaunti ya Hudda ya insta anamsifia sana Harmonize , hii ni project au? ndo kubemendana kama kawa?

 
Huyu wa nyimbo moja nae ajadiliwe ?
atoe nyimbo ili aonekane hajabahatisha sio kick za kijinga
 
Huyu wa nyimbo moja nae ajadiliwe ?
atoe nyimbo ili aonekane hajabahatisha sio kick za kijinga
Ana nyimbo nyingi tu,ila hazijaachiwa wala kufanyiwa video na ndio maana huwa anafanya shoo.
 
Huddah alisema hawezi kudate broke ass niggas...Inaoneka Harmonize mambo yake safi basi
 
Back
Top Bottom