Hardtime for chadema

Hardtime for chadema

1.Katibu wake mkuu anakabiliwa na kesi aliyofunguliwa na Rose Kamili.
Kwamba anamuwekea pingamizi la ndoa iliyokuwa imetajwa kufanyika july 21 mwaka huu.Pamoja na mambo mengine Kamili anadai alipwe fedha za matunzo ya watoto.
Hali hii kwa katibu mkuu wa chama inamfanya kupoteza muda mwingi kudeal na kesi hiyo na chama kukabiliwa na wakati mgumu.Pia mahasimu wao wa kisiasa wanatumia mwanya huo kuwaharibia kuwa kuhusu uadilifu na hawafai kuongoza nchi.

2.Wabunge wa chadema ambao bado hawajatajwa majina wanakabiliwa na kesi ya mauaji ya mfuasi wa CCM yaliyotokea juzi Ndago mkoani Singida.Akiongea kwa kujiamini mbunge Mwigulu Nchemba leo asubuhi bungeni amedai kuwa na ushahidi wa sms za vitisho kutoka kwa wabunge wao ambazo zinawaunganisha moja kwa moja wabunge hao wa chadema.Pia Spika Makinda alidai kufahamishwa jambo hilo na kulaani kitendo hiko na kulitaka jeshi la polisi lichukue hatua stahiki.Hapa chama kimewekwa pabaya kwakuwa makada wake na viongozi waandamizi wanatuhumiwa kuhusika na mauaji.

3.Kiongozi makini wa chama na katibu mwenezi taifa John Mnyika anakabiliwa na mashtaka ya kuthibitisha maneno aliyoyatoa hivi karibuni dhidi ya Mwigulu Nchemba kuwa anahusika kwenye kashfa ya EPA.Kuna viashirio vingi kuonyesha kuwa ushahidi ama haujawasilishwa au haukidhi kujitoa kwenye sakata hilo.Kama hivyo ndivyo Mnyika atapelekwa kwenye kamati ya haki na madaraka ya bunge na anaweza apewe adhabu kali.
Hili linakipa chama wakati mgumu.Mnyika anajulikana umuhimu wake kwa chadema ndani na nje ya bunge.Kukosekana kwake bungeni na/au kutumia muda mwingi kupambana na hili suala kunainyima chadema kuufaidi ufanisi wake wa kipekee kwa 100%.

4.Hivi karibuni ililipotiwa kwenye vyombo vya habari kuwa kuna makada watatu wa chadema wawili kati yao wakiwa ni viongozi na wote wakiwa ni wajumbe wa kamati kuu taifa ya chama kutishiwa maisha yao na kinachoitwa usalama wa taifa.Viongozi hao ni katibu mkuu taifa Wilbroad Slaa,John Mnyika(uenezi taifa) na Godbless Lema.Hili pia ni chungu kwa chama na linalenga kufifisha nguvu ya chadema inayoenea kwa kasi kwani viongozi wake muhimu wanatembea na hofu ya kuhofia maisha yao wakati wowote na hivyo kukipa chama wakati mgumu.

wewe kama Great Thinker ni cdm iko kwenye hard time au raia na nchi kwa ujumla ndo iko kwenye hard time, chezea siasa wewe!
 
Aliyesababisha mauaji si ni yule aliyerusha mawe? Mbona hajakamatwa?
 
Na hili ndilo tatizo la baadhi ya wanachadema humu JF.Ni bora kukisaidia chama kivuke salama kutoka hapa badala ya kujifariji kwa ushabiki wa kipumbavu.Mambo sio mazuri tukisaidie chama chetu kitoke salama.

Bolded red!! Mmmh... Hatujipendekezaki hivyo. Kwa ulichoandika kwenye thread hii, wewe ni gamba tu....!
 
Chama kinataka kutumia nguvu nyingi kupambana na huyo Mwigulu ambaye sio tishio kabisa and in so doing wanaingia mitego ya polisi na CCM. Kwanini tunashindwa kuepuka mitego yao?

CDM lazima wawe mind provocative ili magamba watoke katika hila.Lazima mara mojamoja wafanye kam mtu anayeingia chumbani akaanza piga dawa kali ya mbu , halafu akatoka mtu uvunguni akipiga chafya uku akiw ana silaha.Huyu mtu lazima awe mbaya na ajiseme mwenyewe kwa kutoka.

Alichofanya kiongozi wa mkutano ni kusema maovu yaliyopangwa na jamaa wakapanic na kuanza jionyesha.Angalau hata jamaa wa ccm wangekausha na kuhesabu dili imeharibika.Ila kwa uinga wao hawakuwa na plan B.
Nawapongeza CDM na ningependa waje na palan mpya kila mara za kuwaacha hadharani li raia na jamii ya kimataifa ione.Siku zaja tutaanza hesabu kama Syria, au Libya .
 
Hakuna chenye mwanzo kisichokuwa na mwisho, hakuna marefu yasikuwa na ncha, sikio la kufa halisikii dawa. wakati ni wakati hauna mbadala, tutende mambo kiwakati.
 
Baseless,sijui kama huyu anajua anachokisema,
poleni wakina Kova
 
Bolded red!! Mmmh... Hatujipendekezaki hivyo. Kwa ulichoandika kwenye thread hii, wewe ni gamba tu....!

Tatizo lako ni kufikiri kuwa ili uwe chadema basi lazima ufikiri kama Hurricane!Anayeshindwa kukubali kuwa chama kina hardtime na kuendelea kufikiri kuwa chadema is just ok even in ongoing difficulties is most probable to be a gamba.Prove that you are not by suggesting the ways to rescue your party from problems.
 
Last edited by a moderator:
Bolded red!! Mmmh... Hatujipendekezaki hivyo. Kwa ulichoandika kwenye thread hii, wewe ni gamba tu....!

Tatizo lako ni kufikiri kuwa ili uwe chadema basi lazima ufikiri kama Hurricane!Anayeshindwa kukubali kuwa chama kina hardtime na kuendelea kufikiri kuwa chadema is just ok even in ongoing difficulties is most probable to be a gamba.Prove that you are not by suggesting the ways to rescue your party from problems.
 
Last edited by a moderator:
  • A%20S-devil1.gif
    • A%20S%20465.gif
      • :eek2:


      • A%20S%20465.gif
        :eek2:

      :flypig:



 
thithiem unasemaje shasha kw


  • A%20S%20465.gif

ahili.?????
  • :flypig:
?????
  • :spy:
??????peoplessssssssssssssssssssssssssss
 
Ohh mnashinikiza madaktari kugoma, mara mnahusika na utekwaji wa Ulimboka, mara eh wabunge wa cdm wananitishia kuniua, mara oh kesi ya silaa, na sasa ni mbowe. hahahahahahaah hiyo mbinu ya kitoto, nendeni mkajambie chooni, mkafie mbali huko. Mgonjwa akitaka kufa hutapatapa sana.
 
Goshh!!! labda uwe uko na ushabiki sana.....mbona magamba wengi wana hoja za maana sana....fanya utafiti bila ya ushabiki...mwiko wa kwanza katika utafiti ni kutokuwa na ushabiki

Ndio maana nimesema ''in most cases'' na siyo ''always au all of them''....bado naamini wako MAGAMBA wengi tuwazuri tu ila hawana nafasi na nguvu ya kuikoa CCM.....kuna tofauti kubwa sana kati ya hizo scenario mbili....utafiti ni sehemu ya maisha yangu.....na ushabiki hauna nafasi katika maisha yangu katu
 
mtoa mada/thread ni GAMBA. hana hoja ya maana.

Kwa mtu mwenye akili na anyechambua na kuangalia kwa makini siasa za Tanzania. mtoa thread yuko sahihi kabisa.
Unajua hawa CDM walipandikiza kauli mbiu yao ya nguvu ya umma kwa watu bila kujua jinsi watakavyoitafsiri. Madhara yake ndiyo hayo, na watanzania wataendelea kujichukulia sheria mkononi kwa kisingizio kuwa ni nguvu ya Umaa.
 
Ohh mnashinikiza madaktari kugoma, mara mnahusika na utekwaji wa Ulimboka, mara eh wabunge wa cdm wananitishia kuniua, mara oh kesi ya silaa, na sasa ni mbowe. hahahahahahaah hiyo mbinu ya kitoto, nendeni mkajambie chooni, mkafie mbali huko. Mgonjwa akitaka kufa hutapatapa sana.
Ukweli unauma kumbe?
 
Back
Top Bottom