Tunazungumzia Hard Punch sio Fighting Skills.Nenda you tube mfuatilie binti mmoja wa asili ya ki-Asia nadhani,
Anaitwa 'Chintya Chandranaya'
Search Hilo jina you tube afu uone binti alivyo na mwili mdogo tu lakini Mambo anayofanya Sasa😐
Tunazungumzia Hard Punch sio Fighting Skills.
Mkono mnene sigodoro, mkono mnene unatengeneza ngumi nzito ni hatari japo sio ngumi jiwe...kiswahili mushkeri kidogo.Unaweza kuwa umejazia ikawa kama godoro tu
Ngumi nzito na Ngumi jiwe tofauti, ili uwe na ngumi nzito lazima uwe na mwili mkubwa ili uwe na ngumi jiwe lazima uji train mafunzo ya kurusha ngumi daily au uzaliwe nayo.Yes nimekuelewa.
Ila nimerefer huko kwasababu Huyo Chintya sio tu anademonstrate fighting and self defense skills, Bali pia physical strength ya kutosha ijapokuwa ana mwili mdogo na wa kawaida sana.
Nilichojaribu kusuggest Ni kwamba sio lazima uwe na mkono uliojaa ndio uwe na ngumi nzito
Kama ulivyouliza kwa Kum refer Huyo bibie
Yeah ni moja Kati ya sababu, mtu mwenye mkono uliojazia kwa mazoezi lazima awe na ngumi nzito. Lakini pia wepesi wa mkono au speed hapa sio lazima mtu awe na mkono uliojazia, mtu anaweza kua na mkono wa kawaida lakini kutokana na speed kali anayoitoa kwenye mkono kama akikupiga ngumi lazima uombe pooh, mfano ni marehemu Bruce Lee.Hard punch kwakiswahili kisicho rasmi tunaweza sema ngumi jiwe...ni ile ngumi ukipigwa kichwani lazima urambe mchanga.
Swali
Je kuwa na mkono uliojaza/mkubwa kama Mwarabu Fighter ndio unakuwa na ngumi jiwe(hard punch) ??
Unajidanganya unajua Nguvu inazalishwaje mwilini.Anyway gym halifany mkono kuwa na nguvu
Ila sasa PIGA PUSHAPU UONE MAAJABU YAKE
Anaeshikilia hiyo record ni bruce LeeUnajidanganya unajua Nguvu inazalishwaje mwilini.
Bigger size = more energy
Smaller Size = less energy
Piga push-up zako alafu kawekeane msuri na Kai Green uwone nani atadondoshwa chini.
Munachanganya sana vitu hiviAnaeshikilia hiyo record ni bruce Lee
Hapa sizungumzii uwezo wake wa kupigana
Ila nazungumzia uzito wa punch yake
Kwa maelezo zaidi jaribu kugoogle 1 inch punch, utaona maajabu ilikuwa na uzito wa kiasi gani.
Japo alikuwa na mwili mdogo
Yes your One umeeleza vizurispeed na rotation ya mkono vinamatter zaidi
speed na rotation ya mkono inavyokuwa kubwa zaidi na impact huwa kubwa zaidi hata kama huna ngumi kubwa na msuli mkubwa.
ni kama impact ya risasi na impact ya kugongwa na gari inayotembea taratibu.
ile risasi itakutoboa na lile gari lenye speed ndogo litakupush.
so unaweza kuwa na mwili mkubwa na ngumi yako iwe kama jiwe ila ni slow itakuwa haina tofauti na kupush hivyo impact itakuwa ni ndogo kumknock out mpinzani.
na yule mwenye ngumi ndogo ila ana speed na rotation ya kutosha atakuwa na impact kubwa kiasi cha kumtoa knock out yoyote ni kama utegeshe fuvu mbele ya risasi.
Hapa upo Wrong Tyson ana mwili na Diameter kubwa ya mkono ila ana Hard punch yenye speed sanaNa technically ukiwa na mwili mkubwa na ngumi jiwe speed na rotation ya mkono lazima iwe ndogo haijalishi kwamba unazo nguvu.
Mfano mzuri ni bruce lee.
Well then it depends.Hapa upo Wrong Tyson ana mwili na Diameter kubwa ya mkono ila ana Hard punch yenye speed sana
Ndugu mimi hapa nazungumzia ngumi nzito/massive/power punch, kitu ambacho kina si unit/measurement zakeMunachanganya sana vitu hivi
1)Hard Punch~Ngumi jiwe
2)Massive Punch~Ngumi nzito
3)Fighting Skills~Uwezo/ujuzi wa kupigana
Bruce Lee hakuwa na ngumi nzi nzito bali alikuwa na ngumi jiwe(Hard Punch).
Kujua kupigana si kuwa na Hard Punch wala Massive Punch ila wengi wanakuwa na Hard Punch kwasababu wana Train mkono kupiga hiyo ngumi pia kuna waliyozaliwa na hiyo ngumi Mf Tyson ni Hard Puncher wakuzaliwa yeye kaongeza train za skills za kupigana.
Massive Punch (Ngumi nzito): him anayo aliyekuwa na mwili mkubwa either wakuzaliwa au wamazoezi kama Mudi mnyama au Mwarabu (I choose maarufu) hawa wakikupiga ngumi zao ni nzito ila si ngumi jiwe.
Baunser...ana ngumi nzito,
Ngumi nzito VS Ngumi jiwe
1)ngumi nzito ina athari ila si sana kama ngumi jiwe...ngumi jiwe ukipigwa kichwani inachezesha ubongo ila ngumi nzito inasukuma kichwa
2)Ngumi nzito ikikupiga mbavuni inakusukuma ila ngumi jiwe inavunja mbavu.
3)Baunser ana ngumi nzito ila Boxer ana ngumi jiwe
Mtu wa kawaija ambae hana mafunzo ya ngumi wala hana mwili hana ngumi nzito wana hana ngumi jiwe.
Usichanganye hivyo vitu
Kuna Physics ndani yake.
NB: usichanganye ngumi nzito na ngumi jiwe.
One Inch Punch, ni ngumi ya kusukuma si kutupa ngumi iliyojijenga na train nyingi hata wewe ukiji train dairy utakuwa na uwezo mkubwa wa kupiga inch punch.
NB:
Hard Punch unakuwa nayo kwa njia mbili
1)Kuzaliwa
2)mafunzo
Ngumi nzito unakuwa nayo kwa njia moja
1)Mwili mkubwa
*kuzaliwa
*kutengeneza (Gym)