Hard Punch: Je, kuwa na mkono wenye ujazo ndio unakuwa na gumi jiwe

Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,270
2,000
Hard punch kwa Kiswahili kisicho rasmi tunaweza sema ngumi jiwe; ni ile ngumi ukipigwa kichwani lazima urambe mchanga.

Swali
Je, kuwa na mkono uliojaza/mkubwa kama Mwarabu Fighter ndio unakuwa na ngumi jiwe(hard punch)?
 
HumbleBoy98

JF-Expert Member
Aug 30, 2020
253
250
Nenda you tube mfuatilie binti mmoja wa asili ya ki-Asia nadhani

Anaitwa 'Chintya Chandranaya'

Search Hilo jina you tube afu uone binti alivyo na mwili mdogo tu lakini Mambo anayofanya Sasa😐
 
Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,270
2,000
Nenda you tube mfuatilie binti mmoja wa asili ya ki-Asia nadhani,
Anaitwa 'Chintya Chandranaya'
Search Hilo jina you tube afu uone binti alivyo na mwili mdogo tu lakini Mambo anayofanya Sasa😐
Tunazungumzia Hard Punch sio Fighting Skills.
 
HumbleBoy98

JF-Expert Member
Aug 30, 2020
253
250
Tunazungumzia Hard Punch sio Fighting Skills.

Yes nimekuelewa.

Ila nimerefer huko kwasababu Huyo Chintya sio tu anademonstrate fighting and self defense skills, Bali pia physical strength ya kutosha ijapokuwa ana mwili mdogo na wa kawaida sana.

Nilichojaribu kusuggest Ni kwamba sio lazima uwe na mkono uliojaa ndio uwe na ngumi nzito Kama ulivyouliza kwa Kum refer Huyo bibie
 
Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,270
2,000
Unaweza kuwa umejazia ikawa kama godoro tu
Mkono mnene sigodoro, mkono mnene unatengeneza ngumi nzito ni hatari japo sio ngumi jiwe...kiswahili mushkeri kidogo.
Yes nimekuelewa.
Ila nimerefer huko kwasababu Huyo Chintya sio tu anademonstrate fighting and self defense skills, Bali pia physical strength ya kutosha ijapokuwa ana mwili mdogo na wa kawaida sana.
Nilichojaribu kusuggest Ni kwamba sio lazima uwe na mkono uliojaa ndio uwe na ngumi nzito
Ngumi nzito na Ngumi jiwe tofauti, ili uwe na ngumi nzito lazima uwe na mwili mkubwa ili uwe na ngumi jiwe lazima uji train mafunzo ya kurusha ngumi daily au uzaliwe nayo.
Kama ulivyouliza kwa Kum refer Huyo bibie
 
captain 21

JF-Expert Member
Mar 27, 2021
479
1,000
Hard punch kwakiswahili kisicho rasmi tunaweza sema ngumi jiwe...ni ile ngumi ukipigwa kichwani lazima urambe mchanga.

Swali
Je kuwa na mkono uliojaza/mkubwa kama Mwarabu Fighter ndio unakuwa na ngumi jiwe(hard punch) ??
Yeah ni moja Kati ya sababu, mtu mwenye mkono uliojazia kwa mazoezi lazima awe na ngumi nzito. Lakini pia wepesi wa mkono au speed hapa sio lazima mtu awe na mkono uliojazia, mtu anaweza kua na mkono wa kawaida lakini kutokana na speed kali anayoitoa kwenye mkono kama akikupiga ngumi lazima uombe pooh, mfano ni marehemu Bruce Lee.
 
Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,270
2,000
Anyway gym halifany mkono kuwa na nguvu
Ila sasa PIGA PUSHAPU UONE MAAJABU YAKE
Unajidanganya unajua Nguvu inazalishwaje mwilini.

Bigger size = more energy
Smaller Size = less energy

Piga push-up zako alafu kawekeane msuri na Kai Green uwone nani atadondoshwa chini.
 
jooohs

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
1,429
2,000
Unajidanganya unajua Nguvu inazalishwaje mwilini.

Bigger size = more energy
Smaller Size = less energy

Piga push-up zako alafu kawekeane msuri na Kai Green uwone nani atadondoshwa chini.
Anaeshikilia hiyo record ni bruce Lee
Hapa sizungumzii uwezo wake wa kupigana
Ila nazungumzia uzito wa punch yake
Kwa maelezo zaidi jaribu kugoogle 1 inch punch, utaona maajabu ilikuwa na uzito wa kiasi gani.
Japo alikuwa na mwili mdogo
 
jooohs

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
1,429
2,000
.
Screenshot_20210407-180104_Chrome.jpg
 
Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,270
2,000
Anaeshikilia hiyo record ni bruce Lee
Hapa sizungumzii uwezo wake wa kupigana
Ila nazungumzia uzito wa punch yake
Kwa maelezo zaidi jaribu kugoogle 1 inch punch, utaona maajabu ilikuwa na uzito wa kiasi gani.
Japo alikuwa na mwili mdogo
Munachanganya sana vitu hivi
1)Hard Punch~Ngumi jiwe
2)Massive Punch~Ngumi nzito
3)Fighting Skills~Uwezo/ujuzi wa kupigana

Bruce Lee hakuwa na ngumi nzi nzito bali alikuwa na ngumi jiwe(Hard Punch).

Kujua kupigana si kuwa na Hard Punch wala Massive Punch ila wengi wanakuwa na Hard Punch kwasababu wana Train mkono kupiga hiyo ngumi pia kuna waliyozaliwa na hiyo ngumi Mf Tyson ni Hard Puncher wakuzaliwa yeye kaongeza train za skills za kupigana.

Massive Punch (Ngumi nzito): him anayo aliyekuwa na mwili mkubwa either wakuzaliwa au wamazoezi kama Mudi mnyama au Mwarabu (I choose maarufu) hawa wakikupiga ngumi zao ni nzito ila si ngumi jiwe.

Baunser...ana ngumi nzito,

Ngumi nzito VS Ngumi jiwe
1)ngumi nzito ina athari ila si sana kama ngumi jiwe...ngumi jiwe ukipigwa kichwani inachezesha ubongo ila ngumi nzito inasukuma kichwa
2)Ngumi nzito ikikupiga mbavuni inakusukuma ila ngumi jiwe inavunja mbavu.
3)Baunser ana ngumi nzito ila Boxer ana ngumi jiwe

Mtu wa kawaija ambae hana mafunzo ya ngumi wala hana mwili hana ngumi nzito wana hana ngumi jiwe.

Usichanganye hivyo vitu

Kuna Physics ndani yake.

NB: usichanganye ngumi nzito na ngumi jiwe.

One Inch Punch, ni ngumi ya kusukuma si kutupa ngumi iliyojijenga na train nyingi hata wewe ukiji train dairy utakuwa na uwezo mkubwa wa kupiga inch punch.

NB:
Hard Punch unakuwa nayo kwa njia mbili
1)Kuzaliwa
2)mafunzo

Ngumi nzito unakuwa nayo kwa njia moja
1)Mwili mkubwa
*kuzaliwa
*kutengeneza (Gym)

IP MAN no 2
_Yule adui alikuwa vitu vyote vitatu
*Skills
*Hard punc
*Massive puch
Ndio maana alikuwa akimpiga Don yen na Sam Hong wanaramba mchanga bila utata ila wakina Don walikuwa na Skills tu kwenye Concept ya Movie ndio maana walimdongosha chini kwa skills pekee.

Michael Jay white ana vyoye vitatu
 
Teenager

JF-Expert Member
Jun 28, 2020
1,551
2,000
speed na rotation ya mkono vinamatter zaidi
speed na rotation ya mkono inavyokuwa kubwa zaidi na impact huwa kubwa zaidi hata kama huna ngumi kubwa na msuli mkubwa.

ni kama impact ya risasi na impact ya kugongwa na gari inayotembea taratibu.
ile risasi itakutoboa na lile gari lenye speed ndogo litakupush.

so unaweza kuwa na mwili mkubwa na ngumi yako iwe kama jiwe ila ni slow itakuwa haina tofauti na kupush hivyo impact itakuwa ni ndogo kumknock out mpinzani.
na yule mwenye ngumi ndogo ila ana speed na rotation ya kutosha atakuwa na impact kubwa kiasi cha kumtoa knock out yoyote ni kama utegeshe fuvu mbele ya risasi.

Na technically ukiwa na mwili mkubwa na ngumi jiwe speed na rotation ya mkono lazima iwe ndogo haijalishi kwamba unazo nguvu.

Mfano mzuri ni bruce lee.
 
Yes your One umeeleza vizuri
Na technically ukiwa na mwili mkubwa na ngumi jiwe speed na rotation ya mkono lazima iwe ndogo haijalishi kwamba unazo nguvu.
Hapa upo Wrong Tyson ana mwili na Diameter kubwa ya mkono ila ana Hard punch yenye speed sana

Training in matter...pia kuwa na Massive Hard punch ni balaa zaidi Tyson ana hii kitu ila Bruce ana Hard Punch tu sio massive ila speed kali sana
Mfano mzuri ni bruce lee.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom