Hard disc 2 tb ya Wd

Hard disc 2 tb ya Wd

dadanga

Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
63
Reaction score
47
Napenda kuuliza hard disc za hii kampuni ni nzuri kabla ya kuichukua ,mwenye uzoefu nayo plz
IMG-20210623-WA0012.jpg
IMG-20210623-WA0011.jpg
 
Ndio hio ni western Digital "Green", ni moja ya brand Nzuri za HDD.

Uzuri wake haitumii umeme mwingi, ubaya wake haina speed.

Ni nzuri kama unataka hdd ya kuhifadhia mafile tu na huweki Windows na programs zako humo.

Share bei Mkuu na sisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom