PUMBAFUUUU....... Yaani mnaendekeza kumbeba fisadi serikali ipo wapi hiyo siyo kazi yetu kuchangia harambee za kipuuzi kwani michango ya shule tunaielewa lkn sio michango kama hii.. ya kampeni za kutaka urais tu
lowasa hawezi kuteuliwa kuwa rais kwa style anazotumia.. hela zake tunakula kama kawaida ila ajuee hawezi kuwa rais wa chi hiii atabaki kuwa mbunge wa monduli kwa huruma ya wamasai wake.
JK alishafunguka zamanii kuhusu lowasa kwamba hafai hata kwa kulumagia. TAMBUA HILO WSE MBURULAAA..[/COLOR][/SIZE][/B]
Kila siku anapewa hela na rafiki zake awataje hao rafik zake kina nani..
Hatuko hapa kujuana lakini hata wewe ninawasiwasi na uraia wako mtanzania halisi hana tabia na kulia katika kuchangia maendeleo ya taifa lake.Utakuwa ni muhamiaji haramu.
usiwe kama umetoka mirembe, anacholaumu yeye ni kupigwa binti yake kwa kosa la mzazi.
soma uelewe sio unakurupuka tu.!
Mwala usiwe na akili Kama jina lako maendeleo lazima uchangie sio kulalamika hovyo kama Dr Kikwete anavyo lalamika na kusahau alicho ongea, jaribu kutizama nani alieleta iptl na Richmond ndio alieileta hakuna mpenda maendeleo kama Mh Edward Ngoyai lowasa nenda wilayani kwake uone acheni uzindaki shukuru mwanao atapata madawati na vitu vya muhimu shuleni pole sana
Kapigwa viboko na ENL au na walimu. Na wewe kwanini ulihaidi ukisema mtoto atakuja nazo kesho. Mburula kweli ww. UNASOMESHA MTOTOsT anthony,\ shs milioni 3.5 unalia na shs 5000. Mwongo unatunga tu kichwa cha panzi, mko wengi sishangai, nawaona maburula wenzio humu hata kufikiri hapana yanachukua kama yalivyo. Taabu sana hii. nA HUYO MBUNGE LEO NDIO unamwita mbunge wako. Nani alikwambia kuwa shule inaalika mbunge, inamwalika yeyote wanayetaka awe mgeni rasimi, acha ufwala
[FONT=comic sans
ms]Ebu ficha ujinga wako muda wa siasa za majitaka umepitwa na wakati
watanzania watamchagua mchapakazi na yule atakaewaletea maendeleo
mengine baadae.[/FONT]
binti yangu amechapwa bakora kisa sijamlipia 5000= ya harambee ya lowasa hapa wilayani kwetu...
Imeniuma sana mtoto wangu kupewa adhabu wakati mzazi nipo. Je hiyo adhabu ndio uwe mchango wangu wa harambeee hiyoo ya lowasa???
Vilevile nashindwa kuelewa huyu lowasa yeye ni mbunge wa monduli.. Sasa kuja huku tmk kufanya kampeni hizo eti tuchangie halafu yeye atoe zake aunganishe na zetu .. Kwanza atueleze anazitoa wapi mbunge huyuu???
Vilevilee huku tmk yupo mbunge wetu iweje sasa yeye awe kama msindikizaji tu badala kuwa ndio mgeni mkuu apokee huo mshiko wa lowasa? Badala yake lowasa ndio kafanywa mgeni mkuu... Shame!!!
Kampeni za lowasa zilianzia makanisani baadae misikitini now! Zimehamia mashuleni tena tunaambiwa ni lazima kutoa hiyo harambee la sivyo mtoto hasomi shule..
Jamanii... Jamani... Wananchi wenzangu.. Hebu tusaidiane hili.. Kweli mwanangu afukuzwe shule kisa sijatoa 5000= ya harambee ya lowasa???