Harambee ya Prof. Muhongo yapatikana Tsh 40,000 tu

Harambee ya Prof. Muhongo yapatikana Tsh 40,000 tu

Misaada kutoka Kenya na zile dola kutoka kwa Museveni zimepotelea wapi au ndo washapangia shughuli nyingine..??
 
Kwanini hakwenda na washirika wake wote wa ESCROW kama vile hela za mboga,zawadi n.k? asisee hawa jamaa wana dhambi fote kweli haki ya Mungu kama ni kweli wamelaaniwa watu hawa na watu wote waseme Amin.
 
Rafiki saa hizi serikali haitabiriki unaweza kujitia unamwaga mapene ukajikuta matatizoni
 
Lwakatare mbunge wa Bukoba alikua peke yake na viti ukumbini alipoitisha harambee.. Bora aliepata 40000
 
WEWE NI MUONGO MKUBWA KABSA..........unakumbuka kipindi cha tetemeko la KAGERA Ulituwekea uzi humu y KUWA edo YUPO SAFARINI kuelekea KAGERA ili hali yupo safarini kuelekea KAGERA YA monduli kule KENYA......Afu tangu lini nyumbu wa CHADEMA akawa na NDIMI moja??????????
Ama kwel chadema imewashika pabaya maan c kwakuwawaza huku
 
Back
Top Bottom