Harambee ya Prof. Muhongo yapatikana Tsh 40,000 tu

Harambee ya Prof. Muhongo yapatikana Tsh 40,000 tu

Duuuuuhh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

waiter zungusha tena [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Watu wamechoka na harambee, yaani serikali hii kila kitu ni harambee, hata jambo dogo mkulu anaitisha harambee wakati walituambia wao ni matajiri.
 
Kuna watu walimnanga Lwakatare hapa. Sasa waje watuambie ni vipi tena aibu imemkumba na huyu mzee wetu wa Escrow.

yaan yeye akuanda harembee km mwenzako alikuwa wanakagua jinsi tetemeka lilivyoharibu miundo mbinu ya tanesco ndio akukutana na watu wanalia njaaa ikabidi wachangishane
''''watu wakiwa na njaa hali hiyo ilimlazimu Prof. Muhongo kuitisha mchango wa fedha kutoka kwa maofisa'''by mwanachi news papr
 
Si tunaambiwa kutoa ni moyo na wala si utajiri? kwamba hata Tsh.1000 inathamani, sasa yeye na timu yake wamekuwa na moyo wa kutoa kiasi hicho.
 
Hao wahya walijifanya wajanja kipind cha uchaguz. Si ndyo hwa walitupa chooni zile karatasi za kupigia kura kule Iyungo sec. Ngoja msome number kidogo. Mkuu hajarbiwi.
 
Waliopata hasara sio Prof ni waathirika kukosa fedha za kutosha kujikimu. Muhongo kaondoka zake nani mwenye shida hapo?
Nani hana malazi hapo? Je ni Prof?
Nani anahitaji msosi? Je ni Prof?
Shangilia tu.
 
Harambee aliyoiendesha Prof. Muhongo kwa maafisa alioandamana nao Bukoba, yakusanya TZS 40,000/-

Ziara aliyoifanya waziri wa nishati na madini Sospeter Muhongo katika mtaa wa Hamugembe iligeuka kuwa harambee baada ya waathirika wa tetemeko la ardhi kudai msaada wa chakula na mahema

Hali hiyo ilimlazimu Prof. Muhongo kuitisha mchango wa fedha kutoka kwa maofisa aliokuwa nao na kufanikiwa kupata 40,000 na kuwakabidhi wakazi hao.

Mkazi wa mtaa huo Sadick Shaban alilalamika kuwa waathirika wa tetemeko hilo hawajapata misaada inayotolewa, mkazi mwingine Adventina Shumuni amedai tangu maafa hayo yatokee wametembelewa na afisa wa Tanesco aliyewaachia 20,000 tu baada ya kuwahurumia kwa kukosa makazi

Chanzo: Mwananchi
Let them eat air ipo siku
 
Waliposema tetemeko halijaletwa na serikali kwa hiyo watu wakafanye kazi. Walikuwa wanamaanisha nn?
watu mameenda kufanya, ndiyo maana hela imepatikana kidogo.
Watoto wa Lumumba na bu.ku 7 zao wataupinga huu uzi kwa nguvu zao zote
 
Back
Top Bottom