Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,114
- 32,950
Ha ha ha.Nafikiri unajua kazi yangu haitaki utani niko kwajiri yakuhabarisha Umma
Ha ha ha.Nafikiri unajua kazi yangu haitaki utani niko kwajiri yakuhabarisha Umma
Tundu Lissu alikuwepo wakati Muhongo anachangisha pesa?Kwani Mh Tundu Lissu alivyopigwa BAN bungeni ilikuwaje?
Hahaha umebadilika kama kinyonga ndio maana hujawa Mod maana unaonesha kuwa na mhemukoAsante kwa uthibitisho ingawa najua hayo magazeti ni NGOs za lile chama lililokufa siku nyingi
Tena wewe ni ntu baya sana, kimbia njoo CCM uwe ntu nzuriHahaha umebadilika kama kinyonga ndio maana hujawa Mod maana unaonesha kuwa na mhemuko
WEWE NI MUONGO MKUBWA KABSA..........unakumbuka kipindi cha tetemeko la KAGERA Ulituwekea uzi humu y KUWA edo YUPO SAFARINI kuelekea KAGERA ili hali yupo safarini kuelekea KAGERA YA monduli kule KENYA......Afu tangu lini nyumbu wa CHADEMA akawa na NDIMI moja??????????Nafikiri unajua kazi yangu haitaki utani niko kwajiri yakuhabarisha Umma
UNA USHAIDI MKUU??????? ebu changanya na zako...NENDA kadai ubongo wako UFIPAProfesa kajitahidi katumia garama za milion 5 kapata 40,000 hongera profesa hawa ndo wasomi wamawasomi wa magufuli.
Mhs. alitoa kiasi gani hhahhaHarambee aliyoiendesha Prof. Muhongo kwa maafisa alioandamana nao Bukoba, yakusanya TZS 40,000/-
Ziara aliyoifanya waziri wa nishati na madini Sospeter Muhongo katika mtaa wa Hamugembe iligeuka kuwa harambee baada ya waathirika wa tetemeko la ardhi kudai msaada wa chakula na mahema
Hali hiyo ilimlazimu Prof. Muhongo kuitisha mchango wa fedha kutoka kwa maofisa aliokuwa nao na kufanikiwa kupata 40,000 na kuwakabidhi wakazi hao.
Mkazi wa mtaa huo Sadick Shaban alilalamika kuwa waathirika wa tetemeko hilo hawajapata misaada inayotolewa, mkazi mwingine Adventina Shumuni amedai tangu maafa hayo yatokee wametembelewa na afisa wa Tanesco aliyewaachia 20,000 tu baada ya kuwahurumia kwa kukosa makazi
Chanzo: Mwananchi