Harambee ya Prof. Muhongo yapatikana Tsh 40,000 tu

Harambee ya Prof. Muhongo yapatikana Tsh 40,000 tu

Kuna watu walimnanga Lwakatare hapa. Sasa waje watuambie ni vipi tena aibu imemkumba na huyu mzee wetu wa Escrow.
 
Harambee aliyoiendesha Prof. Muhongo kwa maafisa alioandamana nao Bukoba, yakusanya TZS 40,000/-
Ziara aliyoifanya waziri wa nishati na madini Sospeter Muhongo katika mtaa wa Hamugembe iligeuka kuwa harambee baada ya waathirika wa tetemeko la ardhi kudai msaada wa chakula na mahema
Hali hiyo ilimlazimu Prof. Muhongo kuitisha mchango wa fedha kutoka kwa maofisa aliokuwa nao na kufanikiwa kupata 40,000 na kuwakabidhi wakazi hao.

Mkazi wa mtaa huo Sadick Shaban alilalamika kuwa waathirika wa tetemeko hilo hawajapata misaada inayotolewa, mkazi mwingine Adventina Shumuni amedai tangu maafa hayo yatokee wametembelewa na afisa wa Tanesco aliyewaachia 20,000 tu baada ya kuwahurumia kwa kukosa makazi

Chanzo: Mwananchi
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji23] hii serikali kwakweli imeishiwa
 
Harambee aliyoiendesha Prof. Muhongo kwa maafisa alioandamana nao Bukoba, yakusanya TZS 40,000/-
Ziara aliyoifanya waziri wa nishati na madini Sospeter Muhongo katika mtaa wa Hamugembe iligeuka kuwa harambee baada ya waathirika wa tetemeko la ardhi kudai msaada wa chakula na mahema
Hali hiyo ilimlazimu Prof. Muhongo kuitisha mchango wa fedha kutoka kwa maofisa aliokuwa nao n kufanikiwa kupata 40,000 na kuwakabidhi wakazi hao
Hicho ni kiashiria sahihi ya kuwa uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi sana kuelekea uchumi wa kati.
 
Mod 5 Mod 4 chunguzeni hii habari aliyoleta huyu Mwanahabari Huru kama ina ukweli, kama siyo mzawadieni kale kanembo ketu kazuri ka "BANNED".
1474620972702.jpg
 
Back
Top Bottom