Sawa I will be waiting!!!!Game ikiisha sawa???
Sawa I will be waiting!!!!Game ikiisha sawa???
Mmmhh Nn tv yako iko nyuma
TayariMpira mshaisha.
Hapo hofu zitafanya star mfungwe la 3
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi huyooo.
Nikaanza kumwomba Mungu anilinde barabarani nifike salama.
Maana siku njingine huwa nasali nikiwa njiani sasa Leo nikapata nafasi ya kusali kabla sijatoka.
Hakunaga anachofanikisha yule jamaaBado dakk 3..
Kenya 3 - bashite 2
OmoloTunavyojua kuchambua sura za watu sasa...leo sijui ya mchezaji gani itachamuliwa leo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Moviiie ya bashite imeshafeli. Ndiyo nilitaka kushangaa bashite tangu lini mipango yake ikafanikiwa![]()
Nachukia sana wakenya wa aina yako hahahaKumbe haupendi eeeh![]()
Lindo limekuwa chungu
Hahahaahahha!Na nimetoka nje ya shuka.