Eeh nimejua wanaonyesha ulivyoniambia kisa sijalipia decoder nirudi nyumbani.
TBC taifa su??
Eeh nimejua wanaonyesha ulivyoniambia kisa sijalipia decoder nirudi nyumbani.
TBC taifa su??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha hahaha
Ndo wamelifikisha taifa hapa lilipo!
Umeanza lini kupiga ramli?Muongooooo
Unafurahi tu kimoyomoyo tunavyofungwa![]()
Sasa mpaka hapa acha tuu nisemeTunaongoza 3-1




Mpaka kawasi wasi kuanza kupoteza mechi kananiingiaIla hawa jamaa wanakuja sana hawa
Mafuta ya kupikia mmepandisha bei, watu tunakula chakula kisicho na mafuta mnategemea tumlaumu nani?Duh!
Sisi tushakubali lawama. Hata watu wakienda haja choo kikawa hakitoki tutalaumiwa sisi-emu



HahaahahahahahahahaWewe si umeamua kuwa mzalendo bhana.
Mimi peke yangu ndiyo siyo mzalendo, naogopa hata.
Hahaahahahah!Hahahahah yeeahhhhhh I knowwww
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uzalendo kwa lazima![]()
Game ikiisha sawa???Leo usiku? Sawa ngoja nijiandae.
Sisi mpira tunajua bhanaaAah nilikosea nyinyi wakesha 54% sisi stars 46%





Ila ujue Sisi shida yetu maendeleo tuHahahahah ndiyoooo![]()
Mpira mshaisha.Aiseee
Bado tuna muda lakini



Yaani atari lakini bado ngoja tuoneMpaka kawasi wasi kuanza kupoteza mechi kananiingia