Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hahaha hahaha hahaha
Nani?? Wazalendo???
Ndiwooo, wazalendooo
Hahaha hahaha hahaha
Nani?? Wazalendo???
Kumbe mtanzania?? Halafu unataka tufungwe???Kwani mie mkenya ?
Kenya 8 tz 5Sisi mpira tunajua bhanaa
Vipi shots on target![]()
AiseeeHuhuhuhuhuhuhu.mambo ni motrooo
Mimi huyooo
Ukaiombea???


.Tumelala nachoYaani atari lakini bado ngoja tuone
KhaaaaMimi huyooo.
Nikaanza kumwomba Mungu anilinde barabarani nifike salama.
Maana siku njingine huwa nasali nikiwa njiani sasa Leo nikapata nafasi ya kusali kabla sijatoka.
Dua zako zinapaaaaaa kinomaEeh nimejua wanaonyesha ulivyoniambia kisa sijalipia decoder nirudi nyumbani.
Lindo limekuwa chungu

