Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,543
Haya ndio madhara ya kumpeleka bashite
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umeanza lini kupiga ramli?
Dah acha tuTumelala nacho
Na nimetoka nje ya shuka.Umefurahi sasa???
Vumulia hizi dk 10Lindo limekuwa chungu
HahahahaahahahahahahahSasa mpaka hapa acha tuu niseme
Taifa star hoyeeee...![]()
Yaani WeweMpira mshaisha.
Hapo hofu zitafanya star mfungwe la 3
Hivi we unawajua wasio julikana kweli taratibu bado tunakuhitaji ujueMoviiie ya bashite imeshafeli. Ndiyo nilitaka kushangaa bashite tangu lini mipango yake ikafanikiwa![]()