Tanzania mmefungwa ngapi mpaka sasa hivi?Hahaha wew niache bana...ngoja tumalizie ngwe ya pili



Tanzania mmefungwa ngapi mpaka sasa hivi?Hahaha wew niache bana...ngoja tumalizie ngwe ya pili



Tanzania mmefungwa ngapi mpaka sasa hivi?![]()
TunaongozaTanzania mmefungwa ngapi mpaka sasa hivi?![]()
Duh!Hatuna bando.
Yaani hawa ccm wamefanya kila kitu kikawa kigumu.
Bora haujaenda ungeniaibisha.
Na nakuhakikishia ungeniona Leo pale maana ningekimbia kwenda kumkumbatia samatta.





Poleeeeee.Natetemeka baridi. Nimejifunika gubigubi. Nachatia ndani ya shuka.
Kenya wamejua kuniaibisha![]()
2_2Tanzania mmefungwa ngapi mpaka sasa hivi?![]()
Hawa wakenya wanaroga sana
Uliwapania sana bana...
SawaaaMacho yako mabovu. Nenda kalale![]()
Mambo sio mamboYohana omoro
Hawa wakenya wanaroga sana
Uliwapania sana bana...
Aah nilikosea nyinyi wakesha 54% sisi stars 46%
AiseeeHawa wakenya wanaroga sana
You are just a Little stupid bastard.Mpuuzi tu wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tena Leo kabda hatujatoka job, tukaambiwa tuiombee stars.
Yaani ccm bhana![]()