Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,981
- 45,903
Ghafla zile neema kwenye nyumba za ibada kutoka kwa watu flani waliokua wakitafuta madaraka zimekoma.
Msimu wa neema na mavuno mpaka 2020.
Nabaki kujiuliza maswali haya;
1. Je kumtolea muumba wako ni mpaka ukiwa na shida ya nafasi flani ya madaraka?
2. Upendo na ukaribu kwa taasisi za Dini ni wakati was chaguzi tu.
3. Mwenyenzi Mungu asubiri mpaka 2020 ndio tumwomeshe namna tunavyojali watumishi na nyumba zake za ibada?
Rai yangu kwa nyumba za ibada na kwa watumishi wa Mungu kww Dino zote kuwakataa watu wore wanaojiweka karibu yao vipindi vya uchaguzi mkuu pekee, haileti picha nzuri kwa wahusika.