Augustino Fanuel Massongo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 1,278
- 666
Unajuaje huenda sasa hivi hawaikubali hiyo mialiko.Wapi wamealikwa wakakataa kwa kuwa sio kipindi cha uchaguzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuaje huenda sasa hivi hawaikubali hiyo mialiko.Wapi wamealikwa wakakataa kwa kuwa sio kipindi cha uchaguzi?
Kada ukiwa mpinzani kuna akii fulani huwa zina hama kabisapia mtatiro alipo lindwa na polisi ili aingie ofisi kwakwe aliwasifu na kusema ni haki yake kupata ulinzi kutoka kwa polisi.
lakini walipo mlinda lipumba alisema polisi wanatumika
Ghafla zile neema kwenye nyumba za ibada kutoka kwa watu flani waliokua wakitafuta madaraka zimekoma.
Msimu wa neema na mavuno mpaka 2020.
Nabaki kujiuliza maswali haya;
1. Je kumtolea muumba wako ni mpaka ukiwa na shida ya nafasi flani ya madaraka?
2. Upendo na ukaribu kwa taasisi za Dini ni wakati was chaguzi tu.
3. Mwenyenzi Mungu asubiri mpaka 2020 ndio tumwomeshe namna tunavyojali watumishi na nyumba zake za ibada?
Rai yangu kwa nyumba za ibada na kwa watumishi wa Mungu kww Dino zote kuwakataa watu wore wanaojiweka karibu yao vipindi vya uchaguzi mkuu pekee, haileti picha nzuri kwa wahusika.
TakbiiirHuwa wanatoa rushwa na si sadaka.