Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,491
- 9,259
mtakalia ujinga wa hivi wenzenu wanasinga mbeleWakuu, Hii harambee ya Chama tawala imejaa genge Fulani la watu wachafu tu na hawana interest na taifa letu,
Urais ni cheo cha juu kabisa na nadhani ni vyema kika serve interest ya umma kuliko Kuhuduma kwa cartel Fulani la watu wachache,
power inakuja na Kuondoka ila generation zetu zitakuwa hapa for years tu come, Right kama Nyerere angekuwa walau na element za Viongozi wetu Hawa wa Leo basi kama taifa tusingefika hapa tulipo
tuache show off
Wanamtandao
Matako kwwli wewe kusonga mbele ni kukumbatia majizi na mafisadi wafuasi wa CCM wa sasa mna akili mavi sana vichwa vimejaa funza, na ninadhani ni kwa sababu wengi wa wafuasi wa CCM wa sasa ni waislammtakalia ujinga wa hivi wenzenu wanasinga mbele
Huyu jamaa enzi za JPM na mwenzake rugemalila walikua ma model. Saivi anaonekana hana chembe ya wasiwasi. Daah
Mzee wa puto nae alikuwepo..aisee CCM ya mama wamenishinda tabia! Lakini poa Tu kama wananchi wenyewe ndio oya oya vijiweni ni Simba ,Yanga,man U,Barcelona. Acha wapigaji wafanye yao
hamuwezi kuiondoa ccm kwa matusi,hamna plan,hamna mikakati,mmekalia majungu,uongo,kutukana na ujingaMatako kwwli wewe kusonga mbele ni kukumbatia majizi na mafisadi wafuasi wa CCM wa sasa mna akili mavi sana vichwa vimejaa funza, na ninadhani ni kwa sababu wengi wa wafuasi wa CCM wa sasa ni waislam
MKuu kama una familia basi kumbuka kwamba wao wana maisha mengine zaidi yako baada ya leo...Kama unatetea uovu kwa kudhani kwamba hicho ulichonacho na unachofaidi kwasababu ya kutetea uovu, kwamba kitawanufaisha hata huko mbeleni, basi ukumbuke pia kuwa Mungu ndie apangae hatima zetu....mtakalia ujinga wa hivi wenzenu wanasinga mbele
Hahahaa we kweli Tako, nadhani unajua fika asiye na plan na ambaye akishindwa kwenye hoja na akishikwa kalio vizuri anakimbilia kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, tume ya uchaguzi na mahakama ili kupata msaada, nadhani unalijua hilo vizuri kabisa na umesha mjua asiye na plan tako wewe.hamuwezi kuiondoa ccm kwa matusi,hamna plan,hamna mikakati,mmekalia majungu,uongo,kutukana na ujinga
Fisadi papa , wamerudi kwa Kasi ya 5G
Sawa Wasonge tu ila hili taifa ni watu wote sio la Genge la wachache nadhani Mliona Chuma kilivo hangaika na hawa wahuni, Rais anapata Kila atakacho Ili Kulinda interest ya Wengi na Sio Cartel ndogo ya wahunimtakalia ujinga wa hivi wenzenu wanasinga mbele