Kwa mujibu wa tafiti za kisayansi Kobe ndio mnyama anayeweza kuishi miaka mingi kuliko viumbe wote duniani ambapo anatajwa kuweza kuishi mpaka miaka 200. Kobe anapofanya mapenzi dume hutumia dakika 10 hadi 20 kisha hutoa mlio mkali na kumwaga mbegu(wazungu) mara moja tu na jike huhifadhi mbegu hizo kwa mpaka miaka 7 kwa ajili ya matumizi kutaga nk, hawana tabia ya kufanya mapenzi kama starehe
Binadamu pamoja na ujanja wake anatajwa kuishia miaka 120 pekee huku simba pamoja na ubabe wake akitajwa kuishi miaka 12 mpaka 15 tu
Tembo pamoja na ukubwa wake umri wake wa juu kuishi ni miaka 70 tu
Siri ya kobe kuishi miaka mingi ukiachana na kutokuwa malaya inatajwa kuchangiwa na upole wake na utaratibu wake katika maisha pia hana tabia ya ugomvi
Funzo: Moyo usio na mambo mengi una maisha marefu, piga kimoja cha afya kama kobe kisha punguza maadui uishi miaka mingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.