Harakati za CHADEMA

Harakati za CHADEMA

Usinicheke, nieleweshe nielewe kinachoendelea humu ndani

Wewe kazana na haya bana...........siasa huwezi yakhe!

535427_514682181907975_972214792_n.jpg
 
CHADEMA na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CHADEMA mnatataka nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa wala miguu si nzuri. Niambieni nami nipate kujua.

HIZI HARAKATI ZA CHADEMA NI ZA KUDAI NINI?

Kulikuwa na memba mwingine alikuwa na uandishi unofanana na wakwako. Username yake ni Bwabwa, sijamuona online siku nyingi kweli.

By the way harakati za cdm zingekuwa hazina miguu wala kichwa, wengi wangekuwa washaazichoka. Tafakari!
 
CHADEMA na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CHADEMA mnatataka nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa wala miguu si nzuri. Niambieni nami nipate kujua.

HIZI HARAKATI ZA CHADEMA NI ZA KUDAI NINI?
Wanataka kwenda ikulu hata kwa kumwaga damu hawanahoja yoyote.
 
JAMANI MSISHANGAE CHADEMA MWAKA 2015 WAKAINGIA MSITUNI WAKAWA REBELS.HAWA JAMAA NI HATARI KULIKO M23. NIMEWAULIZA HARAKATI HIZI NI ZA NINI HAKUNA HATA MMOJA ALIYEJIBU ZAIDI YA KUTUKANA. MAANAYAKE NI KWAMBA HAWANA CHOCHOTE WANACHODAI ZAIDI YA KUWA MADARAKANI TU. KAMA WATADAI HILO DOGO KWA DAMU YA WATANZANIA SIKU WAKIINGIA MADARAKANI ITAKUWAJE JAMANI. CDM NI JANGA LA TAIFA MWANACHI OGOPA.
cc zomba
 
Last edited by a moderator:
wanadai uhuru, mwaka 1961 tulipata uhuru sasa cjuwi wao wanadai uhuru gani?
 
CHADEMA na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CHADEMA mnatataka nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa wala miguu si nzuri. Niambieni nami nipate kujua.

HIZI HARAKATI ZA CHADEMA NI ZA KUDAI NINI?

Maendeleo na Democrasia tu, tatizo hujui hata kirefu cga chama makini kama CHADEMA! Chama Cha Democrasia na maendeleo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom