Harakati za CHADEMA

Harakati za CHADEMA

CHADEMA na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CHADEMA mnatataka nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa wala miguu si nzuri. Niambieni nami nipate kujua.

HIZI HARAKATI ZA CHADEMA NI ZA KUDAI NINI?

Ikiwa hakutakuwa na chama cha kuichallenge CCM basi ujue tumeisharudi kwenye mfumo wa chama kimoja, bila kujali challenge hizo ni za kimantiki au la ndio mfumo wa vyama vingi. Harakati za CHADEMA ni kutaka kushika dola na kufanya mambo kwanza kwa manufaa yao na pia ikiwezekana kwa wengine wachache.
 
CHADEMA na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CHADEMA mnatataka nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa wala miguu si nzuri. Niambieni nami nipate kujua.

HIZI HARAKATI ZA CHADEMA NI ZA KUDAI NINI?
Naona leo ndugu umeamka na mawazo kuhusu CHADEMA!
 
CHADEMA na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CHADEMA mnatataka nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa wala miguu si nzuri. Niambieni nami nipate kujua.

HIZI HARAKATI ZA CHADEMA NI ZA KUDAI NINI?

zikikufikia utaelewA kwa sasa wewe endelea kukaa kama boflo tu.....
 
CHADEMA na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CHADEMA mnatataka nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa wala miguu si nzuri. Niambieni nami nipate kujua.

HIZI HARAKATI ZA CHADEMA NI ZA KUDAI NINI?

Tume huru ya uchaguzi haipatikani bila katiba mpya, chadema walidai katiba mpya japo CCM walisema hawaoni kama kuna haja baadaye wakakubaliana na Chadema na mchakato unaendelea, pili chadema wanapigania serikali iboreshe utendaji kazi wake katika nyanja zoote kuanzia ukusanyaji mapato, uadilifu katika kutumia mapato ya nchi (Kupinga ufisadi) ili nchi iweze kusonga mbele kiuchumi na kijamii, kwa mfano kwa kufanya hivyo hata Elimu yetu itaboreshwa, na tungekuwa na mfumo mzuri wa Elimu nchini kwetu leo hii tusingekuwa na watu kama Boflo ambaye hajui chama kikuu cha upinzani nchini kinadai nini, huu ni udhaifu katika sector ya Elimu hususani Elimu ya Uraia
 
Wanataka kula..

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Boflo,
Umeuliza swali la msingi sana lakini Pro-Chadema wote badala ya kukujibu wanaleta porojo.

Umeona eee, hawa watu kichwa ngumu sana, Mbowe na Lema wamewaambukiza
wafuasi wao ubishi, ukaidi na kuvunja sheria za nchi
 
yeriko xxx vp uko pouwa? hahaaaaa.ukweli una kawaida ya kuchelewa lakini laqzima ujulikane .haaaaaa yeriko xxxxx.kiongozi wa chama chetu
:flypig:

:flypig:
 
Boflo kubali huku hukuwezi bana...utagombana na watu bure wakati Lumumba hawakutambui
 
Boflo,
Umeuliza swali la msingi sana lakini Pro-CHADEMA wote badala ya kukujibu wanaleta porojo.

we umejibu nini?

uliingiaje kitivo cha sheria UDSM na division two yako ya mkwawa, wakati kipindi hicho lazima uwe na division one ya point 6 as a cut point of qualification?

Ndo maana hakri zako nazihesabu.
 
eti anajiita mwanasheria?!
 
STIDE

Mnadai kwa kuripua mabomu
Bomu limeundwa China, mlipuaji ni polisi wa Morogoro, waliomlinda kwa SMG, na bastola nia askari wenzie toka Kibaha na Morogoro. Walilindwa na kusindikizwa na gari PT 1179 ya polisi hadi kituoni wakapotelea huko. Serikali kwa kujua yote hayo haithubutu kuwakamat au kujikamata.

Nakushauri endelea na Mambo yako ya Wakubwa maana huku umechelewa hutaelewa kitu. Kama ndiyo umeamua kuanza achana na shosti wako wa Lumumba maana atakupa umbea wakati mnananii
 
STIDE

Mnadai kwa kuripua mabomu

Mkuu mi nilidhani naelewesha mtu....!! Mkuu unahitaji kujua CDM wanadai nini au CDM wanadai vp? Usichanganye mada hayo ni maswali mawili tofauti..please squeeze your brain so that you can gain something from GTs!!

Nimekwambia vua gamba hilo kwanza!!......nitarudi...

STIDE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom