Harakati Majimboni: Augustino Mrema

Harakati Majimboni: Augustino Mrema

idoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
3,051
Reaction score
1,423
E86A0298.JPG

E86A0312.JPG

E86A0295.JPG
 
Wako chimbo au mkutanoni? Mbona hali ni ya kusikitisha kwani walioko hapo idadi yao hawazid hata watu wa nyumba 4 zinazo mzunguka mh. Mrema nyumbani kwake pale. Ina maana hata familia yake nayo ime mtupa mkono namna hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Wako chimbo au mkutanoni? Mbona hali ni ya kusikitisha kwani walioko hapo idadi yao hawazid hata watu wa nyumba 4 zinazo mzunguka mh. Mrema nyumbani kwake pale. Ina maana hata familia yake nayo ime mtupa mkono namna hiyo?
mkuu hapa kama sikusei ni njia ya himo marangu mbele kidogo ya mieresini ni sehemu ambayoa haina makazi ya watu wengi sana maana ni sehemu za mashambani ambako watu wanakuja kulima then wanarusi kule milimani kupumzika.
 
babu akalale sasa aache kuhangaika hatumpi tena ubunge

Sidhani hta kama usingizi atapata kwani anaonekana ni mwingi wa mawazo , coz nafsi yake inapingana na uhalisia wa kuwa umri umeisha mtupa mkono na awaachie wengine washike hatamu, na hataki kukubali kuwa kila mbio huishia ukingoni.
 
Huyu mzee king'ang'anizi...hasomi alama za nyakati kwamba his time is up!
 
hivi sababu za kuomba ubunge eti apate hela ya kununua dawa?kweli tumefika mahali mtu aombe ubunge kwa sababu hiyo?halafu huyu mzee amefanya kazi miaka mingi naona bado anapata marupurupu kutoka serikalini halafu watoto wake walishakuwa wakubwa ana shida gani?mbona Mrema anapenda kujiabisha hivyo?
 
E86A0312.JPG


Mzee wa Kiraracha anatia huruma sijui kama atakatiza mwakani ningekuwa mimi ningewaachia vijana nadhani inatosha.
 
Naona atakufa siku si zake kama ataendelea kukaribisha stress namna hii just relax mzee na uamue kusema enough
 
Huyu mzee anataka chama chake cha tlp kiendelee kuwepo kwenye ramani ya siasa tz, pia ubunge lazima apiganie aendelee kupata ruzuku. Mrema ni economics at work!
 
Kamati ndogo ndogo zimekaa m/k wake ni Mrema.
 
Back
Top Bottom