Msalagambwe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 713
- 263
Ritz you know better.
Wanabodi,
Baada ya kuja na mbinu za kisiasa tofauti tofauti hatimaye Dr Slaa, kaja na mbinu mpya ambayo ni harakati bila mikatati na mbinu dhaifu.
Dr Slaa sasa kaanza mkakati wa kutaka aonewe huruma na wananchi kutokana na kile anachokiita kufuatwafuatwa na vyombo vya dola kwa ni ya kutaka kumuua, inashangaza Dr Slaa kubadili mwelekeo wa siasa zake za kutaka nchi isitawalike na kuomba huruma kwa wananchi.
Neno kutaka kuniua ni zito sana ni jinai ndio maana mtu akitishiwa kuuwawa anakimbilia polisi kutoa taarifa na kupatiwa RB. Hakuna aliyeko juu ya sheria ambaye anaweza kumtishia kuua kiongozi kama Dr Slaa halafu akaachwa tu eti yeye ni usalama wa taifa.
Dr Slaa anasema hana imani na taasisi za dola, huyo huyo anayelilia kutaka kwenda Ikulu sasa akifika huko atafanya kazi na taasisi gani, Itakumbukwa mwaka 2010 Dr Slaa aliwangoza viongozi wa chama chake kupinga matokeo ya urais lakini wakikubali matokeo ya ubunge na udiwani. Alikuja na msamiati wa kuchakachuliwa kura zake bila ushaidi.
Dr Slaa kama hana imani na uongozi wa rais Kikwete ilikuaje yeye pamoja na viongozi wenzake kuwa watu wa kwanza kwenda Ikulu kuonana na rais Kikwete katika mchakato wa katiba...hivi Dr Slaa kweli hujui kwamba hii amani na utulivu tunayojivunia Watanzania tangu tupate uhuru wetu inatokana na uimara wa taasisi zetu za dola.
Achana nao hao mkuu, hawana uwezo wa kufikiri!
Mimi siku zote najiuliza , mtu akitaka nchi istawalike ana maana gani.
Kutotawalika ni kwa aina gani?
Tuna mifano kama Somalia na hivi karibuni kuna Syria.
Je huko ndiko CHADEMA ilikoelekeza macho yake? ili mradi tu wapate kutawala?
Aombaye gharika, na hana hata boti, asitegemee weledi wake wa kuogelea, atachukuliwa na maji tu.
Hawa ndio wafuasi wa Chadema angalia majibu yao.
Kweli wewe ni brain dead idiot!
Ha ha ha!Nsekile mpaka imbafu sikubaba!Malafyale , nasiku!! siingii CHADEMA ng'oMasopakyindi, wanyakyusa wote hawana haiba kama yako! We wa wapi? Wanyakyusa sio wanafiki! Uka nu lwiho ugwe! Uli njang
Mkuu naona umetoka na single mpya unatafuta hela ya futari kwa nguvu zoteHizi si tuhuma za kwanza za Dr Slaa kwa usalama wa taifa mwaka 2010 alisema usalama wa taifa kushirikiana na tume ya uchaguzi imeingiza makontena ya kura za bandia kutoka Afrika Kusini polisi walipoyakamata hayo makontena wakayafungua mbele ya viongozi wa Chadema na kubainika hayakuwa na kura bandia bali ni Vipodozi! Viongozi wa Chadema wakaonekana waongo na wazushi.
Masopakyindi, wanyakyusa wote hawana haiba kama yako! We wa wapi? Wanyakyusa sio wanafiki! Uka nu lwiho ugwe! Uli njang