Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,759
- 870,538
- Thread starter
- #41
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji419][emoji375]Nondo hizi,[emoji120][emoji120][emoji122] Asante sana brother
Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji123][emoji123][emoji123] 2024!.Juzi niliingia hotelini nikiwa na njaa kweli na baada ya kupitia menyu, niliagiza chakula.
Baada ya kama dakika 20 kundi la vijana wa kike na wa kiume waliingia na kuagiza chakula pia. Kwa mshangao wangu, watu hawa walihudumiwa kwanza kabla yangu. Niliwatazama walivyoanza kula na kucheka kimoyomoyo. Na nilimsikia mmoja wao akijigamba jinsi alivyo na uhusiano na kila mtu katika hoteli hiyo na nilihisi kudhihakiwa sana.
Niliamua kuondoka. Sikuweza kuvumilia tena, lakini mhudumu alinifuata na kuniambia kwa utulivu: "chakula chako ni oda maalum, inalotayarishwa na mpishi mkuu mwenyewe. Oda yao wao imetayarishwa kwa haraka na wanafunzi walioko mafunzoni kwa sababu wapishi wakuu wako busy na oda yako mkuu. Ndio maana walihudumiwa kwanza. Tafadhali kunywa juisi wakati unasubiri."
Nilitulia na kusubiri kwa subira. Muda mfupi baadaye, chakula changu kililetwa na wahudumu 6. Kumbe Sikujua, mmiliki wa hoteli hiyo (ambaye ni rafiki yangu wa zamani aliyepotea kwa muda mrefu) aliniona nilipoingia na kuamua kunishangaza. Alibadilisha mlo wangu wa bei poa kuwa wa nyota tano. Wale vijana waliokuwa kwenye meza nyingine walishtuka mpaka wakawa wanatazamana kwa mshangao.
Ikawa sasa wao ndio wananung'unika, wakiuliza kwa nini hawakupata huduma na chakula cha aina hiyo.!!
Hayo ndiyo maisha! Watu wengine wako mbele yako na wanakula sasa, wanakucheka na kuzungumza juu ya jinsi walivyo na akili, busara na bora kuliko wewe, jinsi walivyo na connection nzuri, wamebarikiwa, wana pesa na wanafurahiya maisha.
Unasubiri bila kuchoka kwanini inachukua muda mrefu kufanikiwa, Unavumilia dhihaka na fedheha. Labda umefikiria kujiua, umepitia mfadhaiko mkubwa au una wasiwasi mwingi wa akili...!
Usijali! Mmiliki wa ulimwengu amekuona na hataki upewe mlo rahisi kama wale wanaokudhihaki. Unasubiri kwa muda mrefu kwa sababu chako ni chakula maalum. Kinachukua muda kujiandaa. Na wapishi wakuu tu ndio wanakiandaa. Subiri mlo wako kwa kutulia. Ukifika mezani hiyo sherehe ya kuchekwa na kudhihakiwa itanyamazishwa kwa Uzuri, ukubwa na utamu wa mlo wako
Mambo mazuri hayataki haraka... 2024 ni mwaka wako wa kufurahia..NAKUOMBEA
View attachment 2861548
Mungu wetu kwenye maisha yetu hutujibu maombi yetu kwa muda sahihi.. Hachelewi wala hawahi...!Mbona unanisema mimi mkuu, chakula changu kimechelewa...
Njaa niliyonayo inanitaka niondoke niende kwenye hotel nyingine...
Nimebarikiwa na Uzi, Amina.
Amina kakaMungu wetu kwenye maisha yetu hutujibu maombi yetu kwa muda sahihi.. Hachelewi wala hawahi...!
Kuna kipindi unachodhani umechelewa kumbe ndio unaandaliwa kilicho bora zaidi na cha thamani zaidi
Nakuhakikishia Mungu mwaka huu ataenda kutenda jambo kubwa sana kwani na utaikumbuka hii mada! Nakuombea Donatila
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti hapo Prof. Janab atakuambia unakula sumuJuzi niliingia hotelini nikiwa na njaa kweli na baada ya kupitia menyu, niliagiza chakula.
Baada ya kama dakika 20 kundi la vijana wa kike na wa kiume waliingia na kuagiza chakula pia. Kwa mshangao wangu, watu hawa walihudumiwa kwanza kabla yangu. Niliwatazama walivyoanza kula na kucheka kimoyomoyo. Na nilimsikia mmoja wao akijigamba jinsi alivyo na uhusiano na kila mtu katika hoteli hiyo na nilihisi kudhihakiwa sana.
Niliamua kuondoka. Sikuweza kuvumilia tena, lakini mhudumu alinifuata na kuniambia kwa utulivu: "chakula chako ni oda maalum, inalotayarishwa na mpishi mkuu mwenyewe. Oda yao wao imetayarishwa kwa haraka na wanafunzi walioko mafunzoni kwa sababu wapishi wakuu wako busy na oda yako mkuu. Ndio maana walihudumiwa kwanza. Tafadhali kunywa juisi wakati unasubiri."
Nilitulia na kusubiri kwa subira. Muda mfupi baadaye, chakula changu kililetwa na wahudumu 6. Kumbe Sikujua, mmiliki wa hoteli hiyo (ambaye ni rafiki yangu wa zamani aliyepotea kwa muda mrefu) aliniona nilipoingia na kuamua kunishangaza. Alibadilisha mlo wangu wa bei poa kuwa wa nyota tano. Wale vijana waliokuwa kwenye meza nyingine walishtuka mpaka wakawa wanatazamana kwa mshangao.
Ikawa sasa wao ndio wananung'unika, wakiuliza kwa nini hawakupata huduma na chakula cha aina hiyo.!!
Hayo ndiyo maisha! Watu wengine wako mbele yako na wanakula sasa, wanakucheka na kuzungumza juu ya jinsi walivyo na akili, busara na bora kuliko wewe, jinsi walivyo na connection nzuri, wamebarikiwa, wana pesa na wanafurahiya maisha.
Unasubiri bila kuchoka kwanini inachukua muda mrefu kufanikiwa, Unavumilia dhihaka na fedheha. Labda umefikiria kujiua, umepitia mfadhaiko mkubwa au una wasiwasi mwingi wa akili...!
Usijali! Mmiliki wa ulimwengu amekuona na hataki upewe mlo rahisi kama wale wanaokudhihaki. Unasubiri kwa muda mrefu kwa sababu chako ni chakula maalum. Kinachukua muda kujiandaa. Na wapishi wakuu tu ndio wanakiandaa. Subiri mlo wako kwa kutulia. Ukifika mezani hiyo sherehe ya kuchekwa na kudhihakiwa itanyamazishwa kwa Uzuri, ukubwa na utamu wa mlo wako
Mambo mazuri hayataki haraka... 2024 ni mwaka wako wa kufurahia..NAKUOMBEA
View attachment 2861548
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Eti hapo Prof. Janab atakuambia unakula sumu
Umulike hata nje ya mipaka yetu,na heshima pale ambapo pamejaa dharau.Juzi niliingia hotelini nikiwa na njaa kweli na baada ya kupitia menyu, niliagiza chakula.
Baada ya kama dakika 20 kundi la vijana wa kike na wa kiume waliingia na kuagiza chakula pia. Kwa mshangao wangu, watu hawa walihudumiwa kwanza kabla yangu. Niliwatazama walivyoanza kula na kucheka kimoyomoyo. Na nilimsikia mmoja wao akijigamba jinsi alivyo na uhusiano na kila mtu katika hoteli hiyo na nilihisi kudhihakiwa sana.
Niliamua kuondoka. Sikuweza kuvumilia tena, lakini mhudumu alinifuata na kuniambia kwa utulivu: "chakula chako ni oda maalum, inalotayarishwa na mpishi mkuu mwenyewe. Oda yao wao imetayarishwa kwa haraka na wanafunzi walioko mafunzoni kwa sababu wapishi wakuu wako busy na oda yako mkuu. Ndio maana walihudumiwa kwanza. Tafadhali kunywa juisi wakati unasubiri."
Nilitulia na kusubiri kwa subira. Muda mfupi baadaye, chakula changu kililetwa na wahudumu 6. Kumbe Sikujua, mmiliki wa hoteli hiyo (ambaye ni rafiki yangu wa zamani aliyepotea kwa muda mrefu) aliniona nilipoingia na kuamua kunishangaza. Alibadilisha mlo wangu wa bei poa kuwa wa nyota tano. Wale vijana waliokuwa kwenye meza nyingine walishtuka mpaka wakawa wanatazamana kwa mshangao.
Ikawa sasa wao ndio wananung'unika, wakiuliza kwa nini hawakupata huduma na chakula cha aina hiyo.!!
Hayo ndiyo maisha! Watu wengine wako mbele yako na wanakula sasa, wanakucheka na kuzungumza juu ya jinsi walivyo na akili, busara na bora kuliko wewe, jinsi walivyo na connection nzuri, wamebarikiwa, wana pesa na wanafurahiya maisha.
Unasubiri bila kuchoka kwanini inachukua muda mrefu kufanikiwa, Unavumilia dhihaka na fedheha. Labda umefikiria kujiua, umepitia mfadhaiko mkubwa au una wasiwasi mwingi wa akili...!
Usijali! Mmiliki wa ulimwengu amekuona na hataki upewe mlo rahisi kama wale wanaokudhihaki. Unasubiri kwa muda mrefu kwa sababu chako ni chakula maalum. Kinachukua muda kujiandaa. Na wapishi wakuu tu ndio wanakiandaa. Subiri mlo wako kwa kutulia. Ukifika mezani hiyo sherehe ya kuchekwa na kudhihakiwa itanyamazishwa kwa Uzuri, ukubwa na utamu wa mlo wako
Mambo mazuri hayataki haraka... 2024 ni mwaka wako wa kufurahia..NAKUOMBEA
View attachment 2861548
[emoji1545][emoji1545][emoji1548][emoji173]Barikiwa sana mkuu,wanasema sharing is caring! Hujui tu lakini nina imani kupitia uzi huu umewafariji wengi waliopondeka mioyo.
Umeanza vyema mwaka.... RespectJuzi niliingia hotelini nikiwa na njaa kweli na baada ya kupitia menyu, niliagiza chakula.
Baada ya kama dakika 20 kundi la vijana wa kike na wa kiume waliingia na kuagiza chakula pia. Kwa mshangao wangu, watu hawa walihudumiwa kwanza kabla yangu. Niliwatazama walivyoanza kula na kucheka kimoyomoyo. Na nilimsikia mmoja wao akijigamba jinsi alivyo na uhusiano na kila mtu katika hoteli hiyo na nilihisi kudhihakiwa sana.
Niliamua kuondoka. Sikuweza kuvumilia tena, lakini mhudumu alinifuata na kuniambia kwa utulivu: "chakula chako ni oda maalum, inalotayarishwa na mpishi mkuu mwenyewe. Oda yao wao imetayarishwa kwa haraka na wanafunzi walioko mafunzoni kwa sababu wapishi wakuu wako busy na oda yako mkuu. Ndio maana walihudumiwa kwanza. Tafadhali kunywa juisi wakati unasubiri."
Nilitulia na kusubiri kwa subira. Muda mfupi baadaye, chakula changu kililetwa na wahudumu 6. Kumbe Sikujua, mmiliki wa hoteli hiyo (ambaye ni rafiki yangu wa zamani aliyepotea kwa muda mrefu) aliniona nilipoingia na kuamua kunishangaza. Alibadilisha mlo wangu wa bei poa kuwa wa nyota tano. Wale vijana waliokuwa kwenye meza nyingine walishtuka mpaka wakawa wanatazamana kwa mshangao.
Ikawa sasa wao ndio wananung'unika, wakiuliza kwa nini hawakupata huduma na chakula cha aina hiyo.!!
Hayo ndiyo maisha! Watu wengine wako mbele yako na wanakula sasa, wanakucheka na kuzungumza juu ya jinsi walivyo na akili, busara na bora kuliko wewe, jinsi walivyo na connection nzuri, wamebarikiwa, wana pesa na wanafurahiya maisha.
Unasubiri bila kuchoka kwanini inachukua muda mrefu kufanikiwa, Unavumilia dhihaka na fedheha. Labda umefikiria kujiua, umepitia mfadhaiko mkubwa au una wasiwasi mwingi wa akili...!
Usijali! Mmiliki wa ulimwengu amekuona na hataki upewe mlo rahisi kama wale wanaokudhihaki. Unasubiri kwa muda mrefu kwa sababu chako ni chakula maalum. Kinachukua muda kujiandaa. Na wapishi wakuu tu ndio wanakiandaa. Subiri mlo wako kwa kutulia. Ukifika mezani hiyo sherehe ya kuchekwa na kudhihakiwa itanyamazishwa kwa Uzuri, ukubwa na utamu wa mlo wako
Mambo mazuri hayataki haraka... 2024 ni mwaka wako wa kufurahia..NAKUOMBEA
View attachment 2861548
Mkuu umeanzisha kanisa siku hizi?Mambo mazuri hayataki haraka... 2024 ni mwaka wako wa kufurahia..NAKUOMBEA
Mkuu wangu kanisa sitakaa nianzishe ila kituo cha kiroho kisichobanwa na nira za kiimani niko kwenye mpangoMkuu umeanzisha kanisa siku hizi?
Hongera kama kweli umeanzisha mkuu [emoji23]
Nimeipenda sana hiyo application ya somo lako.
Fanya fasta kuanzisha hicho kituo, wahitaji ni wengi mnoo.ila kituo cha kiroho kisichobanwa na nira za kiimani niko kwenye mpango
☑️🙏Very good we are waiting for our special order