Haraka haraka haina baraka! Subira yavuta kheri

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,927
Juzi niliingia hotelini nikiwa na njaa kweli na baada ya kupitia menyu, niliagiza chakula.
Baada ya kama dakika 20 kundi la vijana wa kike na wa kiume waliingia na kuagiza chakula pia. Kwa mshangao wangu, watu hawa walihudumiwa kwanza kabla yangu. Niliwatazama walivyoanza kula na kucheka kimoyomoyo. Na nilimsikia mmoja wao akijigamba jinsi alivyo na uhusiano na kila mtu katika hoteli hiyo na nilihisi kudhihakiwa sana.

Niliamua kuondoka. Sikuweza kuvumilia tena, lakini mhudumu alinifuata na kuniambia kwa utulivu: "chakula chako ni oda maalum, inalotayarishwa na mpishi mkuu mwenyewe. Oda yao wao imetayarishwa kwa haraka na wanafunzi walioko mafunzoni kwa sababu wapishi wakuu wako busy na oda yako mkuu. Ndio maana walihudumiwa kwanza. Tafadhali kunywa juisi wakati unasubiri."

Nilitulia na kusubiri kwa subira. Muda mfupi baadaye, chakula changu kililetwa na wahudumu 6. Kumbe Sikujua, mmiliki wa hoteli hiyo (ambaye ni rafiki yangu wa zamani aliyepotea kwa muda mrefu) aliniona nilipoingia na kuamua kunishangaza. Alibadilisha mlo wangu wa bei poa kuwa wa nyota tano. Wale vijana waliokuwa kwenye meza nyingine walishtuka mpaka wakawa wanatazamana kwa mshangao.

Ikawa sasa wao ndio wananung'unika, wakiuliza kwa nini hawakupata huduma na chakula cha aina hiyo.!!

Hayo ndiyo maisha! Watu wengine wako mbele yako na wanakula sasa, wanakucheka na kuzungumza juu ya jinsi walivyo na akili, busara na bora kuliko wewe, jinsi walivyo na connection nzuri, wamebarikiwa, wana pesa na wanafurahiya maisha.

Unasubiri bila kuchoka kwanini inachukua muda mrefu kufanikiwa, Unavumilia dhihaka na fedheha. Labda umefikiria kujiua, umepitia mfadhaiko mkubwa au una wasiwasi mwingi wa akili...!

Usijali! Mmiliki wa ulimwengu amekuona na hataki upewe mlo rahisi kama wale wanaokudhihaki. Unasubiri kwa muda mrefu kwa sababu chako ni chakula maalum. Kinachukua muda kujiandaa. Na wapishi wakuu tu ndio wanakiandaa. Subiri mlo wako kwa kutulia. Ukifika mezani hiyo sherehe ya kuchekwa na kudhihakiwa itanyamazishwa kwa Uzuri, ukubwa na utamu wa mlo wako

Mambo mazuri hayataki haraka... 2024 ni mwaka wako wa kufurahia..NAKUOMBEA

4c37c5f6a7bc0649760887cf189834fc.jpg
 
View attachment 2861548
Aminaaa🙏🙏🙏
 
Amen!
Sijui kwa nini unakataa kuwa Mchungaji 😂 😂😂😂!!
Ubarikiwe! nimeipenda hii Mkuu! 🙏🙏🙏
 
Ujumbe mzuri sana, japo hujatoa credit kwa mtunzi wa hii story!
Vinginevyo, inatafakarisha na kutia moyo sana.
 
Mkuu Mshana Jr, asante sana. Katika Uzi ambao naamini hautachuja hata miaka hamsini yajayo, ni huu.

Sijawahi kuisikia sauti yako, lakini kama inaendana na uandishi wako, unafaa sana kuwa "motivational speaker".

Ikikupendeza, na hasa kama utakuwa na nafasi, jaribu kufanya hivyo. Kuna watu wanaweza kusaidika kupitia kinywa chako🙏
 
Mkuu Mshana Jr, asante sana. Katika Uzi ambao naamini hautachuja hata miaka hamsini yajayo, ni huu.

Sijawahi kuisikia sauti yako, lakini kama inaendana na uandishi wako, unafaa sana kuwa "motivational speaker".

Ikikupendeza, na hasa kama utakuwa na nafasi, jaribu kufanya hivyo. Kuna watu wanaweza kusaidika kupitia kinywa chako
Asante sana mkuu wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom