Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Hahahahaaa! itakuwa ni ajabu sana ujue!.. nakungoja na tabasamu lako ujue!
Itakua ajabu tena?Haya subiria utaniona siku hiyo na huo urefu wako ufanye uupunguze.....lol
Hahahahaaa! itakuwa ni ajabu sana ujue!.. nakungoja na tabasamu lako ujue!
Oooohps aje na buku fasta
Huyo anaonekana hata milioni anaweza kukupa.....lol
Ooohh chap chap saana
Shu-kran sana miss Chagga.
Hope now naweza leta posa! si ndio eenh? lol.
Kama umri wako na income yako inabirthday ya kuongezeka sawa lete posa
Kama umri wako na income yako inabirthday ya kuongezeka sawa lete posa
Kabisa mkuuHeshima pesa shikamoo makelele tu.
haya! nipe demand schedule nijue kabisa naleta nini na nini kabisaa mapema mama!
asante sana kokubyutiful..! (kidding.. lol.. eli79 asije akaniwashia gun bure!)
Nimefarijika sana kukuona hapa..
Keki ipo kabisa koku-B!
Tena na siku yenyewe tulivu hivi, ntakulisha vyema kabisa na huo mwanya! lol..
My regards to all people who took their precious time to wish me blessings in my birthday remembrance.
I would like to sincerely thank you all my friends, kiwatengu, mwekundu, Malaika mimi, Kim nana, Matola, miss neddy, Munkari, ladyTalha (hope you could be here today dear friend.), 'Valentina', tumboo, angelita, Nokia83, Honey Faith, Khantwe, farkhina, Malaika mimi. mshana jr,. and all I didnt mention.
My friends, ni jambo jema sana pale muungwana anapoungwa mkono na waungwana, fursa kama hizi hutokea kwa watu wachache sana, tena wale walio muhimu tu kwa maisha. Natambua ni namna gani mlivyotumia muda wenu mwingi sana kunipa ushirikiano katika tukio hili la muhimu sana ambalo hutokea mara moja tu kwa mwaka.
Ningependa kuwafahamisha kuwa, Mwenyezi Mungu kaniongezea umri leo, nimefarijika sana, nimetimiza umri wa miaka 23, jambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Binafsi ningependa kuliongelea jambo hili kama hatua muhimu sana ambayo kila mwanadamu, mbali ya anaipitia, lakini inampa fursa ya kuendela kukua na kuyaona (kama wahenga walivyosema hapo zamani za kale.)
Naomba nisiwachoshe sana, mwisho ningependa kuwaambia tu kuwa, Mwenyezi Mungu, muumba mbingu na nchi, bado yuko nami bega kwa bega katika harakati zangu za kuyakabili maisha na kuibadili dunia kuwa sehemu bora ya wanadamu na viumbe wengine kuishi. Mwenyezi Mungu kanitendea mengi, nakumbuka maneno yake matamu katika zaburi ya 23, sitaogopa kitu nijapopita katika bonde la umauti...
Nawashukuruni sana kwa muitikio wenu chanya katika siku hii tulivu.
Asanteni.
Excel at 23.