Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,800
- 32,264
WOMEN OF IMPACT (PSALMS 68:11)
VISION
EQUIPPING WOMEN TO IMPACT THEIR WORLD
MISSION
TO RAISE GODLY WOMEN WHO LIVE A TRANSFORMATIONAL LIFE AND MAKE THE DIFFERENCE IN THEIR WORLD
Zaburi 68:11
Bwana analitoa neno lake wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa.
Karibu tumwinulie Bwana Jeshi la wanawake watakaotangaza habari njema za ufalme.
Hapa ni mahali pa kutengeneza wanawake watakaoliishi kusudi la kuumbwa kwao kikamilifu na kuleta mguso wa kipekee kwenye kizazi chao.
Ni kwa ajili ya wanawake wenye ndoto za kuifaidia dunia yao.
Ni kwa ajili ya wanawake wenye maono makubwa ya kuwa watu wenye matokeo ulimwenguni.
Hapa utajaa maarifa ya kweli ya neno la Mungu yatakayokusaidia kuzaa matokeo ukiwa mwanamke