Namshukuru Allah kwa kuniwezesha kuiona siku ya leo ambayo tar kama hii 29/05 miaka 26 iliyopita ndio nilitambulishwa rasmi dunian.
Thanks kwa wazazi wangu kwa kunikubali kunilea na kunifunza meeengi sana pia thanks kwa ndugu jamaa na marafiki ambao kwa njia moja manyingine wamefanya Iddi kuwa Iddi,shukran