Happy President day (Leo ndio Siku ya Marais Duniani)

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
LEO NI SIKU YA MARAIS DUNIANI (Happy President day)

Natuma pongezi zangu kwa Marais wote wa Taifa Letu.

1.Julius Nyerere
2.Sheikh Abeid Karume
3.Alhasan Mwinyi
4. Aboud Jumbe
5.Benjamin Mkapa
6. Amani Karume
7.Jakaya Kikwete
8.Dr. Sheni
9.John Magufuli. n.k

Imetolewa na :

Deogratius Nalimi Kisandu
Mtemi Kiongozi wa ACA tarajiwa.
 
kaza moyo mkuu..Utakuwa rais wa Tz muda si mrefu, kwenye september au january mwakani:):):)
 
Huyu jamaa tayari kesharogwa na Wachawi wa kahama.
Shinyanga ni mkoa wa kichawi Sana Tanzania, ukiona mtu hata ndevu ameacha kunyoa na zamani alikuwa ananyoa ujue tayari.
 
Back
Top Bottom