Habari za majukumu Wajumbe, baada ya kuwa msomaji wa JF kwa muda sasa, leo nimeona namimi nijiunge rasmi ili kuweza
kuchangia mawazo katika mambo kadha wa kadha, tafadhili naomba upokezi wenu humu.
Mungu awabariki sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.