Happy New Year 2012 wana JF wote

Happy New Year 2012 wana JF wote

Dah! Pole sana kaka mkubwa. Tunafurahi tumeuona wote mwaka.
 
Hivi siku ya mwaka mpya inatofauti na siku nyengine?
 
Mkuu Lunyungu Mungu akupe strength na courage for this year 2012. Very happy new year kwako na wakuu wote wa JF.
 
Pole sana kaka lunyungu.happy new year
 
 
Last edited by a moderator:
Heri ya Mwaka mpya 2012 wakuu.......karibuni sana Party......Time Square!
 
Party ndio imeanza wakuu karibuniiiiiiiii...........Happy New Year 2012!!
 
pole sana mkuu..
karibu tena ..

0050.gif
 
Pole sana kwa yaliyokukuta nakuombea afya njema.

HAPPY NEW YEAR 2012
 
Back
Top Bottom