happy digital year

happy digital year

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
mwaka huu tutashuhudia wenye simu za michina wakipotea hewani kimya kimya, na wale wa antenna za mwiba wa samaki ndo hivyo tena, huu mwaka wetu ving'amuzi jeneresheni,
happy new year Erickb52, watu8, Young Master, Mentor, na wana chitchat woooote,

mamaa la nguvu charminglady, nimekulet down ila usininyime sehemu ya zawadi ya ushindi

happy new year guys
 
Last edited by a moderator:
heri ya Mwaka mpya kwako pia mkuu....sijui JF nayo itaamia dijitali???
 
wewe manoah bado uko analoji unasoma kirivesi rivesi, heri kwako
Unajua hesabu za ki digital wewe? 1+1=10, 10+1=11 na 11+1=100 upo hapoooo....... digital tuna deal na 1 na 0 tu, ndio maana nimeweka 6C na badala ya C6 Kesho nitakuja kukupigia lecture la digital, maswala yale ya K- map na mengineyooo. Pamoja my young brother
 
tutorial assistant unataka kumpa lecture senior lecturer? mwenzio naifukuzia phd, ngoja nimuite mkufunzi watu8 akufahamishe usichokijua
 
Last edited by a moderator:
mwaka huu tutashuhudia wenye simu za michina wakipotea hewani kimya kimya, na wale wa antenna za mwiba wa samaki ndo hivyo tena, huu mwaka wetu ving'amuzi jeneresheni,
happy new year Erickb52, watu8, Young Master, Mentor, na wana chitchat woooote,

mamaa la nguvu charminglady, nimekulet down ila usininyime sehemu ya zawadi ya ushindi

happy new year guys

ha ha haaa!!! Umenifanya nicheke sana mkuu...!!!
 
mwaka huu tutashuhudia wenye simu za michina wakipotea hewani kimya kimya, na wale wa antenna za mwiba wa samaki ndo hivyo tena, huu mwaka wetu ving'amuzi jeneresheni,
happy new year Erickb52, watu8, Young Master, Mentor, na wana chitchat woooote,

mamaa la nguvu charminglady, nimekulet down ila usininyime sehemu ya zawadi ya ushindi

happy new year guys

2013-happy-new-year-vector-933694.jpg
 
Last edited by a moderator:
tutorial assistant unataka kumpa lecture senior lecturer? mwenzio naifukuzia phd, ngoja nimuite mkufunzi watu8 akufahamishe usichokijua
duuuu we ni hatariiiii Senior lecture C6 ..... 10 years kwenye game? We hatari ngoja na mie nitafute hata ka u assistant lecture
 
tutorial assistant unataka kumpa lecture senior lecturer? mwenzio naifukuzia phd, ngoja nimuite mkufunzi watu8 akufahamishe usichokijua

manoah analeta habari ya uongo...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom