Happy Born Day to me

Oya miaka mingapi unatimiza, hujataja umri ndio kitu kinacho nitatiza.../

Au pengine ni dogo na skuli hujamaliza, una hofia tukijua tutaacha kukusikiliza.../

Sio swala mwana heri ya siku ya kuzaliwa, cha msingi pumzi tu vingine majaliwa../

Mpe pongezi mama yako kabla hajatwaliwa, ikibidi mpe na zawadi nawe utabarikiwa.../

Nimekuja na box la zawadi, ukilifungua utakuta mistari sio kadi.../

Mistari nimeipanga kiustadi, ili ikupe faraja siku ya leo usiwe sad.../

Happy born day brother kaka, unajiskiaje kusherekea mwisho wa mwaka?
 
Umeanza ungese damu yangu😀😀

Hivi hii mwisho wa mwaka kitaalamu inaitwaje? Si ndo inakuwa powa tunakula na bia kabisa kwenye kile kitengo chetu?😀
 
Happy birthday mkuu, Nakutakia heri na baraka katika maisha yako. Live your time, Live your part✌️
FB_IMG_16172960573148144.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom