Happy born day my luvito @Bulldog

Happy born day my luvito @Bulldog

Kim nana Naye Happy Birthday..... Umezaliwa leo ,God aku bless uzae watoto wengi uishi miaka mingi zaidi ya Queen Elizabeth
 
Last edited by a moderator:
Kim nana Naye Happy Birthday..... Umezaliwa leo ,God aku bless uzae watoto wengi uishi miaka mingi zaidi ya Queen Elizabeth
 
Last edited by a moderator:
Sitakutendea haki nisipoungana nawe katika siku hii ya furaha kuu kwako,familia, ndugu, jamaa na marafiki wote, shukrani pia zimwendee mama aliyepata shida zote kuanzia kutungwa kwa mimba mpaka kufikia kujitambua na kujitegemea...baba naye ana mchango wake mkubwa tuu lakini kubwa kuliko yote ni MUNGU mkuu aliyekufanya uwe ulivyo leo hii!sifa shukrani na utukufu na viwe kwake yeye HAPPY BIRTHDAY Bulldog
 
Last edited by a moderator:
jaman heri na maisha marevu viwe nawe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom