Sitakutendea haki nisipoungana nawe katika siku hii ya furaha kuu kwako,familia, ndugu, jamaa na marafiki wote, shukrani pia zimwendee mama aliyepata shida zote kuanzia kutungwa kwa mimba mpaka kufikia kujitambua na kujitegemea...baba naye ana mchango wake mkubwa tuu lakini kubwa kuliko yote ni MUNGU mkuu aliyekufanya uwe ulivyo leo hii!sifa shukrani na utukufu na viwe kwake yeye HAPPY BIRTHDAY Bulldog
Umejuaje kama ni bro?🙈
Happy birthday.Mie naomba kipande cha keki!!!
jaman heri na maisha marevu viwe nawe
Utapata usijali, tuma MPESA kwanza
GGM bro. Kungekuwa na mechi leo ingekuwa dili sana
Asanteee mtaniiiiii......!