Happy Birthday! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Happy Birthday!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Elia, Dec 31, 2010.

 1. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Habari wana JF
  Leo 31 /12 / 2010, natimiza mwaka mmoja tangu nijiunge na jamii I am happy to be part of this family.
  HISTORY:
  Hakuna mtu aliyenishauri/nishawishi nijiunge na hii familia. Nilikua nje ya TZ nikapata taarifa za mchezaji wa soka mwenye asili ya home(Tz) kasajiliwa Chelsea fc (timu ya wadogo). Nikamtafuta kupitia Google search, among results nilizopata ilikua ina link na jamii forum, it was very useful kwangu. Nilipata zaidi ya nilichokuwa natafuta. Then nikaendelea kutembelea hii forum mara kwa mara kama guest nikawa na enjoy a lot, In fact I found it it very useful. Then Nikajiunga rasmi hiyo tarehe nikitegemea kupata uhondo zaidi. Nilikuwa napendelea zaidi sports, vituko vya mastaa wa kibongo, jokes, photos, kidogo nikawa naingia kwenye siasa hasa kuelekea uchaguzi 2010.
  FAIDA NILIZOPATA
  1. Nimepata misaada ya kiushauri mingi kupitia kwenye post zangu chache na nyingi za wanachama wengine zilizo kuwa zina reflect direct kwa yanayo/yaliyo nikuta au jamii inayo nizunguka kwa ujumla.
  2. Nimekua nikipata current information za Bongo hata nikiwa mbali na home sweet home (Tz)
  3. Nimepata marafiki wengi ndani ya JF ambao mmekua hamsiti kushauri, kukosoa, kuelimisha, kujenga hoja na kuburudisha You are real true friends.
  MAPUNGUFU:
  1. Toka nijiunge kwa miezi takriban 6-7 Sikuwa mwanachama active sana, in term of kuchangia hoja mbalimbali mpaka baada ya 30/08. kwa hilo nina deni kubwa kwa JF (nadaiwa)
  2. Sijaifanyia JF kitu chochote cha maana na hili ni deni la pili
  SHUKURANI:
  1. Moderators for all, particularly on my 30/08 Birthday
  2. All JF members
  MWISHO:
  Haya niliyo andika ni ufupisho wa risala yangu kwa siku hii ya kuzaliwa ndani ya JF. Najua kuna mengi nimeyaacha naomba mnikumbushe, ongezee na kunisamehe nilipokosea . 2011 nategemea nitaboresha kiwango .
  HAPPY NEW YEAR -2011
   
 2. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  hongera mpwa
   
 3. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ahsante mkuu:hungry:
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  :teeth::teeth::teeth:
  elia wap elisha?
  hongera baba
  u mtu mwema cz una uthubutu wa kushukuru na kuadmit penye pbm
  asante elia
  endelea kuwa mtu mwema
   
 5. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ahsante da Rose Karibu juisi ya miwa :hungry:
   
Loading...