Happy birthday

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
Jamaa akiwa anamdai mwenzake kwa muda mrefu alimfuata kumkumbusha na kutaka kulipwa, mazungumzo yalikuwa hivi;

Jamaa - unajua lile deni letu leo linafikisha mwaka sasa?

Mwenzake - Basi tuliimbie happy birthday!!
 
unaweza ukapelekwa segerea hivihivi ukute hapo una shida na hiyo hela halafu mwenzio analeta masihara
 
namtemea usoni,,,si unajua mate yanavyouma,,,naye aumie,,,lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…