Happy birthday

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Jamaa akiwa anamdai mwenzake kwa muda mrefu alimfuata kumkumbusha na kutaka kulipwa, mazungumzo yalikuwa hivi;

Jamaa - unajua lile deni letu leo linafikisha mwaka sasa?

Mwenzake - Basi tuliimbie happy birthday!!
 
unaweza ukapelekwa segerea hivihivi ukute hapo una shida na hiyo hela halafu mwenzio analeta masihara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom