Mkuu kweli umenichoka aisee.
Duuu!!hozo mboga mliweka kwenye ubao mkakatakata na panga au[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Alafu hizo sahani mbona kama mifuniko ya sufuriaMkuu kweli umenichoka aisee.
Alafu huo unga umetoa wapi wakati nasikia huko kuna njaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha kweli kama mifunikoAlafu hizo sahani mbona kama mifuniko ya sufuria
Mshana bhana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahahaha kweli kama mifuniko
Huyo mzee ameshindikanaMshana bhana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hiyo inawafaa wachana mbao[emoji23] [emoji23] [emoji23] afya tupu hiyo chakula ya mechi ngumu hiyo
Kweli kabisa mkuu anaweza zaidi ya wauza madawa[emoji125] [emoji125] [emoji125]Huyo mzee ameshindikana