Haya ni matumizi yasiyofaa ya unga khaaa! [HASHTAG]#Makonda[/HASHTAG] come this way! mshana jr huu unga umepata wapi? Kesho uje Cental na fiatu fyako!
Kama upo abroad ni sawa.Lakini kama upo hapa Bongo hayo yatakuwa ni mashauzNina miaka 4 sijala ugali,
Nimemiss hii kitu aiseee...
Don't judge someone for no reason.Kama upo abroad ni sawa.Lakini kama upo hapa Bongo hayo yatakuwa ni mashauz