Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
Happy birthday Young Master....bado kidogo utakuwa old master
Last edited by a moderator:
Happy birthday Young Master....bado kidogo utakuwa old master
Happy birthday Young Master
happy birthday mkuu
Mkuu Young Master heri ya siku yako hii njema na Mwenyezi Mungu akutangulie katika maisha yako yote akupe heri zake na baraka
Happy Birthday Mkuu
![]()
to you jembe langu, mdogo wangu, muigizaji wangu Young Master uwe na miaka mingi ili tuendelee kula viuno
i wish u blast
salamu hizi zimeletwa kwa hisani ya
![]()
imechakachuliwa asee hii haikuwa hivi mpenziHapo kwenye red tu....... We mkareeeee!!! Young Master
nataka slice ya cake Young Master. happy b.day mzeya
Happy Birthday mpendwa.
Be blessed today and always.
Happy Birthday...🙂
hee wewe mbona birthday zenu zinafanana na Arushaone ninyi ni mapacha nini?
hongera sana best Mungu akupe afya njema na kukuzidishia miaka imingi ijayo ya kuishi
Happy birthday Young Master;
mtaalam wangu wa manukato.....