happy birthday Young Master!
Happy birthday.
happybirthday Youngmaster
Young master all the best unapopangua miaka, uzee huooo! Kila la kheri mkuu
Hongera Young Master.....besdei unailia wapi.....halafu na we sisix wanaosema wanakuzimia ni kina nani hao? charminglady anayajua haya?
hapi basidei to yuuu hapi basidei tuu yuuu hapibasidei dia mtoto mdogo mkuu hapi basidei tu yuu..... sori mayi ingilishi iszi not gud olsooo
Heri ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa kaka...
Happy Birthday to you!
Leo tuna birthday mbili humu ndani, ya Young Master na ya Arushaone.
Happybithday wakuu.
Mimi nina share birthday yangu na Osama bin Laden na Samwel Eto
YM !
Kula sana mbogamboga, punguza vyakula vya wanga, kwepa vyakula vya mafuta!
Soda kunywa za free sugar (achana na misoda hii ya kawaida) percentages za kukutana mwaka ujao zitaongezeka.
Happy birthday Young Master