Happy Birthday Young Master

Happy Birthday Young Master

mwenzenu kafilisika siku nyingi mlipa ya kwenda kuhonga sijamtia machoni siku ya tatu nendeni tandale mtamkuta
 
aje mwenyewe kuthibitisha kauli......mhazini Mwita Maranya na mwenyekiti Teamo walikimbia na michango ya harusi

Happy belated Young_master.
Sasa dada'angu Blaki Womani mbona tunachafuliana majina? kuna sababu gani ya mimi kuendelea kuwa mhazini kama hazina yenyewe iko empty!? kuchanga hamtaki lakini sherehe mnataka!!
 
Last edited by a moderator:
Happy belated Young_master.
Sasa dada'angu Blaki Womani mbona tunachafuliana majina? kuna sababu gani ya mimi kuendelea kuwa mhazini kama hazina yenyewe iko empty!? kuchanga hamtaki lakini sherehe mnataka!!

eeeeehh upo nikukute wapi unipatie feza nimpeleke PakaJimmy alikuwa anakuulizia....... bila sherehe pilau na ndafu tutapaje
 
Last edited by a moderator:
Yani u missed everything...umemiss kukabeba kachanga katundu...ulikuwa wapi siku zote hizo?

Ayiii, katoto kenyewe kameshakua hadi kameanza kuongea.
Ningekuwepo ningekuimbia ule wimbo wangu wa

TOTO PARTY TOTO PATI
TOTO PATI TUIMBE SOTE,

TOTO PATI TOTO PATI,
TOTO PATI TUCHEZE SOTE
 
ayiii, katoto kenyewe kameshakua hadi kameanza kuongea.
Ningekuwepo ningekuimbia ule wimbo wangu wa

toto party toto pati
toto pati tuimbe sote,

toto pati toto pati,
toto pati tucheze sote

toto pati toto pati,
mwaka mpya tucheze sote,
kinywaji chetu ni soda tu,
juisi matunda tu,
malta guiness na biskuti,
maziwa ya unga na cowbell.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom