kataninunia bure maana haka katoto ni balaa!!!!!1Hahahahaha mchape kama kagoma lol!
nshakatoroka!!Kama vipi kapeleke kwa mamake bana .....kasikuchoshe!
yaaani shosti!!!!!! we acha!! mtu mzima nilibaki hoi kwa mshangao!!Hahahahaha lol.....safi sana mtoto ana siku 2 tu ila msumbufu kama nini!
Oh dear! Mi nilikua wapi? Sikuona kabisa hii thread.
Happy birthday lil bro, pokea belated wishes of faith, hope, joy and L♥√ع!