Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
hahahahaha chezea Blaki Womani weweee......mpaka za kuwalipia gharama za fungate
Ha ha ha...utawezaje wakati fungate lafanyikia kwenye our private island?
hahahahaha chezea Blaki Womani weweee......mpaka za kuwalipia gharama za fungate
Ha ha ha...utawezaje wakati fungate lafanyikia kwenye our private island?
daaah watisha sasa haya kila la heri na my wifi sweetlady
Hehehehe Young Master usinichekeshe mie platozoom anajulikana siku zote kuwa ni mzamiaji wa shughuli za watu sasa huo mchango atautoa wapi?
hahahahaha looooo siku ukimjua utaniambia acheki na nyani.....lakini usisahau kunipa kadi ya mwaliko
We akaribie wapi?.......asubirie kuiona kwenye Chereko tbc1 lol!
Ahsante hata kama umeisema kwa shingo upande!
Na karibu sana kwenye function yetu.....
Yaani wewe hata kadi ya mwaliko hupati manake nakuona unavyokazana kunivunjia ndoa......honey Vin Diesel wala usimsikilize huyu ashazoea majungu !
We akaribie wapi?.......asubirie kuiona kwenye Chereko tbc1 lol!
Hahahahaha yaani wewe nikikukamata khaaa.....kutoka kidogo tu ushanchoma namna hii ?.....labda ubadilishe njia ila ukikatiza ile ya siku zote utakoma!
Na itampinda mpaka inyooke...lolest.
khaaa ama kweli mapenzi upofu