Happy Birthday Young Master

Happy Birthday Young Master

Aisee,
Naomba nisaidiesaidie bana...maana ni kweli nilimvalisha lakini bado simuelewielewi, mara anataka, mara hataki!...Inaonyesha bado ana mahusiano ya siri Erickb52!...naomba Preta asisome hapa, maana akijua ukweli huu huenda Jumamosi ya ndoa akamkataa huyu jamaa!

heeee PakaJimmy ya kweli hayo ngoja niwasiliane na Kimey asaidie jambo hili
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Younger Master.Were you born-ed yesterday??Ukue kama mnazi na uwe mpana kama mizizi ya mlima kilimanjaro.Happy Birthday!
 
Happy Birthday Younger Master.Were you born-ed yesterday??Ukue kama mnazi na uwe mpana kama mizizi ya mlima kilimanjaro.Happy Birthday!

yes my dear...nilizaliwa jana. too bad hukuwepo kunibeba...but hujachelewa cuz bado unaweza kunibeba hata leo...wahi nafasi zimebaki chache.
 
loooo wifi uroho umekuzidi ulibugia sana......anasubiri abadilishwe pampasi na mwaJ

Ha ha ha haaaaaaaaaa! We Blaki Womani wewee! Nani alikuambia mie ni hausigelo wa akina Young Master? Anyway kwa vile Young Master bado mtoto mchanga siku mbili hizi sitajali kumsaidia bi mkubwa wake kuifanya hiyo kazi. Acha aendelee kudeka kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Khaaa......huyu mwaJ nae amezidi kudandia kazi siyo yake .....yeye aliambiwa kazi yake kupika uji wa mtoto manake Kongosho hajulikani alipo.....hiyo ya pampasi alipewa Catherine!

Kazi yenyewe wala nilikuwa siitaki mie, nilikubali basi tu, bora nikapike uji nijibakizie kidogo wa kuonja.
 
Ha ha ha haaaaaaaaaa! We Blaki Womani wewee! Nani alikuambia mie ni hausigelo wa akina Young Master? Anyway kwa vile Young Master bado mtoto mchanga siku mbili hizi sitajali kumsaidia bi mkubwa wake kuifanya hiyo kazi. Acha aendelee kudeka kidogo.

asante mwaya kwa kukubali mtoto asijechubuka bure.......acha afurahie kwa wakati huu
 
Happy b'day young master! Uishi miaka ming, ubaki wa mbegu! Lol
 
Happy b'day young master! Uishi miaka ming, ubaki wa mbegu! Lol

hahahaha Swts umenikumbusha nilikwenda kumsalimia bibi nikakuta ana jogoo kubwa nikamwambia namwomba akanijibu amebakiza la mbegu
 
Last edited by a moderator:
index.jpg Mwenyezi Mungu akujalie miaka 100
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom