Hapo ndo kosa kubwa ulilofanya.
BAGAH kapotea na keki na haonekani mpaka muda huu.
cacico nimempita pale TSN Supermarket anamfanyia shopping
Asprin,na anaonyesha hana dalili ya kuja shereheni.
Asprin nimesikia kaenda na nyumba ndogo yake Fatuma wa Buguruni kule Pugu kuvuna Mihogo.
CUTE nilimuona mida flani ya mchana hapa Steers Makumbusho analamba ice cream na wenzie labda nikamcheki tena.
Bishanga mara ya mwisho nimepita nje ya nyumba yao mida ya saa 5 asbh nimelikuta Fuso la Bia limepaki,nikajua linakuja huku.
Mungu wangu tushaliwa.
Mkewe
The secretary simu yake inaita tangu saa 8 haipokelewi,au ndo washalewa cjui.
sweetlady hebu tafuta walinzi twende.
Sherehe imeanza.
Na raha ya sherehe ni 'Mma'