Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
Last edited by a moderator:
sweetlady hii ni adhabu aise bopra nikakope nikanunue gas kuliko kuchanja kuniWifi amekula hela ya gas so adhabu yake tumempa kuchanja kuni lol
Thank you my dear sweetlady among all the people sikutegemea kama wewe ndio ungekuwa wa kwanza humu jamvini kuniwish happy birthday. I dont what to say other than thank for all that u have done to me. You will always be my closest friend...you will be in my heart to the very end. thank you for being a part of me...we blended well.
Kuwa mtoto mzuri, mtii na mwenye heshima kwa wazazi wako na watu wote ili uishi miaka mingi yenye heri duniani.
Kuwa mtoto mzuri, mtii na mwenye heshima kwa wazazi wako na watu wote ili uishi miaka mingi yenye heri duniani.
Happy Birthday 2 u,
Happy Birthday 2 u,
Happy Birthday Young Master,
Happy Birthday 2 u.
H'B'D Young M.
Mungu akujalie uishi miaka mingi,uyaone mengi,uyashinde mengi,
Na vilevile Uwe mwenye furaha Daima.
HAPPY BIRTHDAY
Happy Birthday 2 u,
Happy Birthday 2 u,
Happy Birthday Young Master,
Happy Birthday 2 u.
H'B'D Young M.
Mungu akujalie uishi miaka mingi,uyaone mengi,uyashinde mengi,
Na vilevile Uwe mwenye furaha Daima.
HAPPY BIRTHDAY
heri ya kuzaliwa ndugu yangu ym
Furaha yake itaongezeka akikuja cacico hapa......mtafute basi Madame B .......huyu Asprin mbaya sana jamani ona mtoto hana mtu wa kukaa nae high table lol.... Ukimwona CUTE mwambie aje aokoe jahazi!
Afu Bishanga tulimpa hela ya vinywaji mpaka sasa haonekani yeye wala vinywaji tehe tehe.....hivi mkewe The secretary si bado anatumia ile namba yake ya Voda?.....inabidi tumpigie yeye lol!